Wana JF

ndo zake my dear....mi hupenda tu surprise zake....watu watasubiri tuachane but itaendelea kuwa ngumu....anajua upooza/usuuza moyo wangu!!! :wink2::hand::hand::rain:

Hiyo ndo inatakiwa kwenye ndoa. Kwenye ndoa kuna kupishana, lakini cha muhimu ni kusameheana! ...All the best...:)

Sasa my dear friends, naomba niwaage niwatakie usku mwema!
May God bless you and have sweet dreams!
 
u2 mrembo cheers
 
Usiku mwema dear 1, sweetdreams and may God kindly Bless you!
 
Hiyo ndo inatakiwa kwenye ndoa. Kwenye ndoa kuna kupishana, lakini cha muhimu ni kusameheana! ...All the best...:)

Sasa my dear friends, naomba niwaage niwatakie usku mwema!
May God bless you and have sweet dreams!

make sure you put me in that dream of yours
 
Gerald umefanikiwa kupata kabinti?? Au bado unajifunza kumgongea senks Michelle?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom