yaani umri wangu unakimbia balaaaa Shosti,kila mtu akiweka thread kigezo cha umri kinanitoa out.....usiwe kama mimi,em jipatie Gerald,acha kupoteza muda....l.o.l......
Gerald we wataka wa umri gani au hiyo si ishu kwako.....ha ha haaaaaaaaaaaaa!!!!:hand: