Wana JF wote karibuni kwenye harusi yangu next week

Wana JF wote karibuni kwenye harusi yangu next week

Teh TehUsisahau kumwambia akupigie wimbo wa Alikiba wakati mnaingia ukumbini...
 
Duh leo mzee kasafiri basi umepumzika...nilidhani utaenda nae kuangalia mambo huko uje utujuze na maswali yako Sakafu.
 
mkitoka kanisani mtaenda ukumbi gani kwa ajili ya sherehe mkuu.
ukisema na muda sio mbaya ili tujongee mdogomdogo
 
dress code ikiwa white mtatisha sana kama white party vle
 
Back
Top Bottom