Wana JF wote karibuni kwenye harusi yangu next week

Wana JF wote karibuni kwenye harusi yangu next week

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Wakuu napenda kuwakaribisha kwenye harusi yangu week ijayo, itafanyika kanisa la sinza KKKT.karibuni sana. naenda kuchukua jiko
 
Hongera sana nawatakia kila la heri kwenye maisha yenu mapya
 
Hongera mkuu, ila miezi 6 ya mwanzo onyesha principles zako na zisimamie (siyo za mateso lakini), ukisubaa bibie atasimika za kwake halafu baadae uje hapa kulia lia kama yule jamaa
 
Asante sana

Nakutakia harusi njema

Kisha muende honeymoon mwezi mzima na mkeo...tena muende bila simu ili seva za jf Ipumue...

Seriously...all the best
 
nadhani Ally Kibba alikuwa mtu wa kwanza kumpa taarifa (nazani wanaofuatilia posti za jamaa wananielewa)
 
mmmmh hongera mkuu, ngoja niongeze speed huu mwaka usiishe
 
Mmhhh ...lukelo unaoa????

Umeacha ile tabia yako...???????
 
Asante na hongera kwa mipango yako ya kuchukua jiko.Mungu awajaalie ndoa yenye furaha na mpate watoto wema.
 
Teh Teh Mimi na Mwl Evelyn Salt tutakuletea zawadi ya Cd ya Alikiba!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana

Nakutakia harusi njema

Kisha muende honeymoon mwezi mzima na mkeo...tena muende bila simu ili seva za jf Ipumue...

Seriously...all the best

Teh Teh kama kweli anaoa anatakiwa afanye ulicho agiza...
 
Back
Top Bottom