masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Povu la nini? Basi Alikiba atawaoa wote usijali
mkuu kwani imekuaje naomba niambi
e
alikiba amemnaninii vipi jamaa
Povu la nini? Basi Alikiba atawaoa wote usijali
Mmmh!!!!!!!!
Povu la nini? Basi Alikiba atawaoa wote usijali
Nini tena mkuu
Hamna kitu mkuu.
Teh Teh kama kweli anaoa anatakiwa afanye ulicho agiza...
Nilifikiri ulitaka kwenda kuweka pingamizi
Nahisi ni vile jamaa ni team KIBAHahahahahah!!!!!! wacha ndoa ya watu iwe na baraka tele.
Nilipata bumbuazi baada yakuona watu wanaalikwa mara wanasema Ali kiba sasa sielewi kulikoni ndio maana nikabaki naguna mie, natamani kujua kulikoni lakini naona wenye stori wanatoa kichwa cha habari tu.
Wakuu napenda kuwakaribisha kwenye harusi yangu week ijayo, itafanyika kanisa la sinza KKKT.karibuni sana. naenda kuchukua jiko
Hongera hii mada ungeipeleka MMU
Hongera sana nawatakia kila la heri kwenye maisha yenu mapya
Hongera mkuu, ila miezi 6 ya mwanzo onyesha principles zako na zisimamie (siyo za mateso lakini), ukisubaa bibie atasimika za kwake halafu baadae uje hapa kulia lia kama yule jamaa
kila lenye heri
Kila la kheri mkuu.
Mimi bado niponipo
Asante na hongera kwa mipango yako ya kuchukua jiko.Mungu awajaalie ndoa yenye furaha na mpate watoto wema.
mkuu kwani imekuaje naomba niambi
e
alikiba amemnaninii vipi jamaa
Kabisa aisee
Maana jamaa ni kipanga wa kuanzisha nyuzi...
Sasa inabidi asiwe na access na mtandao ili aweze ku-hanemunika vizuri