wana jf wa dar

kwa wale mnaoenda tanga naombeni mmipm nina shida na ninyi

Pole sana mdogo wangu Smile,

Mbona unasota sana kuwafukuza nyuki wa bucha??

Kama umekosa kampani wahi Costal Aviation...wana flight mbili za Ta kwa siku...

Nadhani ile ya kutoka Dar saa 8 mchana itakuwa powa wako...au unasemaje??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
jamani mbona kurushana roho hivyo! hebu tuambiane vizuri kama vipi nasi tuelekee huko mara moja.

Kama bado roho yako inaweza kurushwa na starter ya marejesho basi wewe siyo mwendaji...

Waombee tu wenzio wasafiri salama, .....naamini watakuwakilisha vizuri!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
kuna huyu mkemkubwa hawezi kuniachia tarehe hizi ingekuwa likizo au wk-end ninge faidi
 
kwa wale mnaoenda tanga naombeni mmipm nina shida na ninyi
Dah, umeshapata mtu wa kwenda nae? Maana mimi natarajia kuondoka kesho. Nina tiketi ya simba lxry ya kesho saa nane, kama vp tutafutane
 
Huko ndiyo wapi?

Oh my God... I thought nilikuwa "OFF AIR" kumbe DJ wangu kanirusha live.....

Any way niko kwenye mood ya Tanga , kwa hiyo nilikuwa najiimbia zangu " Kaona mambo yako humu,taarabu imo.....' R.I.P Nasma Kidogo...
 
Lakini Nasma Hamisi kidogo alipokuwa anaimba hivyo alionyesha ishara kwa kushika makalio yake,kwa hiyo na wewe unamaanisha hivyo hivyo?
 
Lakini Nasma Hamisi kidogo alipokuwa anaimba hivyo alionyesha ishara kwa kushika makalio yake,kwa hiyo na wewe unamaanisha hivyo hivyo?

Hata mimi nilikuwa nimeyashika .... Nafurahia uumbaji wa MUNGU.....
 
Dah, umeshapata mtu wa kwenda nae? Maana mimi natarajia kuondoka kesho. Nina tiketi ya simba lxry ya kesho saa nane, kama vp tutafutane
hata mimi naenda saa nane kesho
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…