Wana Jf wa Arusha wapo Salama?

Mi sijakutana wala kumsikia sweetlady tokea mabomu yalipotandikwa.
Pia sijamsikia Mysoul, Mchaka Mchaka, Jackbauer Lily Flower na Preta.

Plz meeen, kama mpo fit itikeni tujue, na kama mko Selian Hospital kaeni kimya hivyohivyo, tutakuja kuwatembelea saa 8 na Azam Juice, na tutapiga 'donee' tuwahamishie Samunge!
 
Last edited by a moderator:
PakaJimmy mm nipo mzima wa afya! Nilishindwa kufika milestone jana kutokana na majukumu ya hapa na pale na dharura zisizokwepeka.
 
Last edited by a moderator:

mimi ni mzima wa afya ila nina matatizo ya kitecnolojia hasa hasa ile simu yangu tegemezi kutoka china naona imeleta hitilafu,nahisi kuna frequency za mabomu kutoka china zinaingiliana na hii simu yangu ndio maana nashindwa kupost kwa wakati.
 
Last edited by a moderator:
PakaJimmy alivyo na wivu, hizo salamu hazifiki!!
Ha haaa!
Wewe Filipo mimi ningekuwa na wivu si ningemrejesha kwangu huyo mpenzi wangu wa zamani marejesho, na usingeonja kitu.
Mi sina ubaya bana, salam za Erickb52 zitafika ingawaje itabidi nimhoji anasalimiwa kwa lipi hasa!
Hakyanani lazima aniambie ni nini kinaendelea hapa katikati, hii haiwezekani aisee!
Mi sina wivu bana!
 
Last edited by a moderator:


Hiyo red ni kujipaka damu tu, Uonekane mchinjaji kumbe muuza bucha! Ila hiyo blue imedhihirisha ukweli wa maneno yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…