Wana JF wa Arusha naja...

Wana JF wa Arusha naja...

Kabla sijakuandalia vibaka....Kiburugwa kukoje?!
Yaani hakuna njia maalum ni ubunifu wako tu kama ukiamua kuingia chumnai kwa mtu ili utokee mtaa wa pili Ahlan wasahlan! Ukipita njia ya kuchungulia watu wakiwa wanaoga hewala, ukiwa unatembea kuna watu wanafanya biashara ya vitu ulivyovaa nyuma yako........
 
Hahahaha...una bahati!!Nilidhani kuna sifa nyingine za ajabu ajabu!!!
 
Hahahahaaaa hizo sifa za ajabu ndo kama zipi Lizzy?.......................Nimeziweka for "personal" use only!
 
Yaani hakuna njia maalum ni ubunifu wako tu kama ukiamua kuingia chumnai kwa mtu ili utokee mtaa wa pili Ahlan wasahlan! Ukipita njia ya kuchungulia watu wakiwa wanaoga hewala, ukiwa unatembea kuna watu wanafanya biashara ya vitu ulivyovaa nyuma yako........

haaah haaaah haaah yani wanafanyabiasha kwa vitu ulivyovaa!
 
karibu,.....unatumia kinywaji gani?

nb:kisiwe na sukari tafadhari
 
Hahahahaaaa kaka hako kasichana ntaruhusiwa kurudi nako huku kwetu?
<br />
<br />

Kasichana namaanisha konyagi ndogo na tonic moto huku tukishushia na mbuzi choma za QX PUB au mdudu/kitimoto pale ze winners pub
 
karibu,.....unatumia kinywaji gani?

nb:kisiwe na sukari tafadhari
Natumia kinywaji chenye chumvi kwa wingi sana tafadhali.........Hahahahaa
 
<br />
<br />

Kasichana namaanisha konyagi ndogo na tonic moto huku tukishushia na mbuzi choma za QX PUB au mdudu/kitimoto pale ze winners pub
Alaaa haya hapo utakuwa umenisaidia sana kupiga teke baridi la kwenu huko
 
bora we waenda arusha, mie moshi mpaka leo cjawatia machoni wenyeji jamani.
 
Back
Top Bottom