Wana JF wa Arusha naja...

bora we waenda arusha, mie moshi mpaka leo cjawatia machoni wenyeji jamani.
Pole itabidi kesho uje Arusha na wewe ili tukutane na wa Arusha maana hao wa Moshi wanaonekana wamezibwa na mlima
 
[font color="#A52A2A"][span style="font-family: comic sans ms"]Jamani wadau wenzangu mlioko Arusha naja huko kwenu tualikane basi japo futari tu si mnajua tena udugu kualikana[/span][/font]
baada ya kuona picha za K.Ampiga mkoloni ndo unataka na wewe kwenda haya bana 2pe feedback.lol
 
baada ya kuona picha za K.Ampiga mkoloni ndo unataka na wewe kwenda haya bana 2pe feedback.lol

ziko wapi hizo aisee

On a very serious note wana JF arusha big up saaana sana mko wakarimu kama ndama mutoto ya ng'ombe

naunga mkono alochosema shantel 100%, u guys rock ngoja ntarudi...
 
ziko wapi hizo aisee<br />
<br />
On a very serious note wana JF arusha big up saaana sana mko wakarimu kama ndama mutoto ya ng'ombe<br />
<br />
naunga mkono alochosema shantel 100%, u guys rock ngoja ntarudi...
ingia tu pale kwa wakubwa utakuta zimejaa pale 'ARUSHA NOMAAA...' utacheck mambo yao!
 
Inaonyesha Arusha kuzuri sana naona watu wanafunga safari kula mbuzi.
 
Jamani eeh, nimefika n m stayin at Golden Rose
 
Back
Top Bottom