Mzazi hapo africafe pana nini kwani?
Kahawa, juice, ice cream kama ni mpenzi wa hivyo vitu nenda pale
Mzazi hapo africafe pana nini kwani?
Hahahahaa lakini kuna juice pia na ice cream na keki na vitafunwa vingine
walah tena na mikate inauzwa kwa mnada na muhindi? Ukitaka hata slesi moja unapata?
Kahawa, juice, ice cream kama ni mpenzi wa hivyo vitu nenda pale
Duh nikitua hapo si ndo nitaugua kabisa kisukari
sio lazima ununue limfuko la maslesi sijui mangapi unanunua kutokana na unavotaka.So mkate unafunguliwa wanaumz akwa slesi
duh balaa hilo
sio lazima ununue limfuko la maslesi sijui mangapi unanunua kutokana na unavotaka.
Dah nilipata stori za Via Via halafu nilipita mitaa ile muda fulani hivi nikasikia ngoma ngoma na bongo flava mchanganyiko hiviKama sio mpenzi wa hizo vitu basi we nenda Via Via, boogaloo, nicks pub, matongee, maasai camp, cet garden upate nyama choma na product za pale ilala au njiro
sijui wataanza lini maana hata mimi huwa simalizi lichupa lao hilo watanisaidia kusaveBasi karibuni tutakuwa na soda za kupima
Yaani linanunuliwa lichupa likubwa la Coke watu wanauza za kupima
sijui wataanza lini maana hata mimi huwa simalizi lichupa lao hilo watanisaidia kusave
Dah nilipata stori za Via Via halafu nilipita mitaa ile muda fulani hivi nikasikia ngoma ngoma na bongo flava mchanganyiko hivi
sijui wataanza lini maana hata mimi huwa simalizi lichupa lao hilo watanisaidia kusave
Mi nakuja huko nafikiri tutasaidiana hilo lichupa
welcomeMi nakuja huko nafikiri tutasaidiana hilo lichupa
wewe unaenda wanakupimia wenyewe wauzaji kama glass moja poakabisa hata mimi wakianza nitafurahi sana
Maana unajichagulia kama unataka glass mbili poa au moja poa nyingine unauza
wewe unaenda wanakupimia wenyewe wauzaji kama glass moja poa
welcome
Kaka next time nikija itabidi nisijifanye mwenyeji niwe completely mgeni ili mnishike mkono nivuke salama hahahahahahaaa!
Naamini sito kuwa mpweke kabisaaaaa