Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

Duh nikitua hapo si ndo nitaugua kabisa kisukari

Kama sio mpenzi wa hizo vitu basi we nenda Via Via, boogaloo, nicks pub, matongee, maasai camp, cet garden upate nyama choma na product za pale ilala au njiro
 
Kama sio mpenzi wa hizo vitu basi we nenda Via Via, boogaloo, nicks pub, matongee, maasai camp, cet garden upate nyama choma na product za pale ilala au njiro
Dah nilipata stori za Via Via halafu nilipita mitaa ile muda fulani hivi nikasikia ngoma ngoma na bongo flava mchanganyiko hivi
 
Basi karibuni tutakuwa na soda za kupima
Yaani linanunuliwa lichupa likubwa la Coke watu wanauza za kupima
sijui wataanza lini maana hata mimi huwa simalizi lichupa lao hilo watanisaidia kusave
 
sijui wataanza lini maana hata mimi huwa simalizi lichupa lao hilo watanisaidia kusave

kabisa hata mimi wakianza nitafurahi sana
Maana unajichagulia kama unataka glass mbili poa au moja poa nyingine unauza
 
Ungeingia mkuu
pale ni kila kitu hata kama ungetaka ngozi nyeuupe ungepata tuu
Kaka next time nikija itabidi nisijifanye mwenyeji niwe completely mgeni ili mnishike mkono nivuke salama hahahahahahaaa!
 
Back
Top Bottom