Mungu hayuko na wanafiki, wale waliomwita Lowassa fisadi na mwizi alipokuwa ccm, wakamfanya shujaa alipo wanunua !
Labda awe mungu wa msalabani ndio wa ukombozi !
Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.
Amini kwamba alichopanga MUNGU ndicho kitakachokua,njia zake hazichunguziki,atakae kua rais huyo ndo MUNGU alimpanga kwa makusundi maalumu ndani ya inchi,MUNGU hatoi kiongozi kwa mapenzi yako,anatoa kiongozi kwa sababu zake za msingi,sema hv TUUOMBEE UCHAGUZI NA WAGOMBEA WAKE ili MUNGU apite hapo na kutoa yule anayependezwa nae
Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.