Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,370
Mbwa huwa analamba maji au anakunywa maji?Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
Mbwa huwa analamba maji au anakunywa maji?Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
Kama ukabila basi chadema chama cha wasukuma maana wamepata wabunge wengi kule na hata myika ni Msukuma
kama ni Ujimbo Chadema haiwezi kuachana na hiyo sera kwani ndiyo ambayo tunaamini itamkomboa mtanzania
kama ni Udini sijawahi sikia wala kuona Chadema wakifanya mkutano msikitini au kanisani. Ni bahati mbaya tuu CUF imetawala Zbar na Pwani na kuifanya chadema ishindwe ku penetrate maeneo hayo lakini mkakati kabambe wa kuingia maeneo ya Pwani unaandaliwa
Acha umbea wewe mtoto
Binafsi najipanga kupambana na Idd Azzan Kinondoni.Naamini 2015 hakuna cha zaidi ni Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeez poweeeeeeer[/QUO
yesu wangu!!! mimi narudi jimboni kwangu hai, kwa kweli anaekikaliaa kiti cha ubunge hapo ajitayarishe kuniachia 2015!!! uuuuuuiiii!!!! sitalala bwashee mpaka kielewekeee!!!!
chadema mbali ya kufanyiwa ibada maalum makanisani imesababisha mpaka makanisa kufungwa siku ya uchaguzi ili waumini wakapige kura za chuki dhidi ya wagombea urais wenye majina yanayofanana na dini fulani!!!
acha umbea wewe mtoto
Inaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!Kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura Bob Silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob Silaa aingie Ikulu(inawezekana wewe si miongoni mwetu au huingii kanisani-utatengwa na usharika!,vyama vyote vinavyojiita vya kiraia ambazo nembo zao(logo) zinaherufi ya msalaba + kama Tamwa,TGNP n.k wote walikuwa wakimpigia kapu Bob Silaa,wewe ulikuwa wapi! au ni mmoja wao?
Unajua jina lako kwetu linamaanisha(Reyes-bushwomen) isije ikawa ni kweli!
Tathmini yangu fupi ya mwenendo wa uchaguzi inaonesha kuwa kila sehemu ambayo Chadema iliweka mgombea makini, msomi, Kijana na mpiganaji wa ukweli katika Ngazi za Ubunge na Udiwani Chadema iliongoza kwa kura.
Dr Slaa alipata kura kiduchu sana maeneo ambayo chadema iliweka mgombea dhaifu ngazi ya Ubunge
Hali ilikuwa mbaya zaidi maeneo ambayo Chadema iliweka wagombea dhaifu wa Ubunge na Udiwani ni kukosa timu sahihi ya kampeni.
Wagombea Ubunge kama Thomas Nyimbo, Shitambala, Regia nk licha ya uwezo wao lakini katika baadhi ya kata waliangushwa na wagombea wasiouzika na wasiona hoja wa Udiwani.
Baada ya kutafakari kwa kina nimegundua kuwa sisi wana JF tunahusika kwani wengi wetu tungeweza kujitokeza kwenda kugombea na kuongeza kura kwa Chadema. badala ya kushabikia humu JF
Ni wakati wa kuamua sasa, Mshawishi na mwenzako tujitokeze. tutengeneze network, tufanye training za stage performance za kutosha, Tuandae wagombea serekali za mitaa na Udiwani kwenye kata zetu ili uchaguzi ujao tuweze kusaidia harakati.
Suala la kuiangamiza CCM haiwezi kufanya na Mbowe peke yake au Dr Slaa pekee, ni kazi yetu sote hasa vijana
Hima tuamke, tushikamane, tutambue wajibu wetu kwa Taifa hili
Mimi nimetangaza nia Isimani Iringa na naanza maandalizi mapemaaaaaa
2015 peopleeeeeeeezzzzzzzzz
Udini: Kusema Chadema ni wadini ni kuwasingizia tu. CCM ndiyo wadini Namba 1
Ukabila: Wewe utakuwa mwehu tu. Wabunge wa Chadema wa sasa wanajibu hoja yako ya kijinga
Ujimbo: USA ambako wanafanya utawala wa majimbo umewazidi nini na nchi yako ya kifisadi.
Nimekusonya (sema tu hujasikia)
Tathmini yangu fupi ya mwenendo wa uchaguzi inaonesha kuwa kila sehemu ambayo Chadema iliweka mgombea makini, msomi, Kijana na mpiganaji wa ukweli katika Ngazi za Ubunge na Udiwani Chadema iliongoza kwa kura.
Dr Slaa alipata kura kiduchu sana maeneo ambayo chadema iliweka mgombea dhaifu ngazi ya Ubunge
Hali ilikuwa mbaya zaidi maeneo ambayo Chadema iliweka wagombea dhaifu wa Ubunge na Udiwani ni kukosa timu sahihi ya kampeni.
Wagombea Ubunge kama Thomas Nyimbo, Shitambala, Regia nk licha ya uwezo wao lakini katika baadhi ya kata waliangushwa na wagombea wasiouzika na wasiona hoja wa Udiwani.
Baada ya kutafakari kwa kina nimegundua kuwa sisi wana JF tunahusika kwani wengi wetu tungeweza kujitokeza kwenda kugombea na kuongeza kura kwa Chadema. badala ya kushabikia humu JF
Ni wakati wa kuamua sasa, Mshawishi na mwenzako tujitokeze. tutengeneze network, tufanye training za stage performance za kutosha, Tuandae wagombea serekali za mitaa na Udiwani kwenye kata zetu ili uchaguzi ujao tuweze kusaidia harakati.
Suala la kuiangamiza CCM haiwezi kufanya na Mbowe peke yake au Dr Slaa pekee, ni kazi yetu sote hasa vijana
Hima tuamke, tushikamane, tutambue wajibu wetu kwa Taifa hili
Mimi nimetangaza nia Isimani Iringa na naanza maandalizi mapemaaaaaa
2015 peopleeeeeeeezzzzzzzzz
Inaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!Kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura Bob Silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob Silaa aingie Ikulu(inawezekana wewe si miongoni mwetu au huingii kanisani-utatengwa na usharika!,vyama vyote vinavyojiita vya kiraia ambazo nembo zao(logo) zinaherufi ya msalaba + kama Tamwa,TGNP n.k wote walikuwa wakimpigia kapu Bob Silaa,wewe ulikuwa wapi! au ni mmoja wao?
Unajua jina lako kwetu linamaanisha(Reyes-bushwomen) isije ikawa ni kweli!
ili tuungane inabidi chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
inaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura bob silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob silaa aingie ikulu(inawezekana wewe si miongoni mwetu au huingii kanisani-utatengwa na usharika!,vyama vyote vinavyojiita vya kiraia ambazo nembo zao(logo) zinaherufi ya msalaba + kama tamwa,tgnp n.k wote walikuwa wakimpigia kapu bob silaa,wewe ulikuwa wapi! Au ni mmoja wao?
Unajua jina lako kwetu linamaanisha(reyes-bushwomen) isije ikawa ni kweli!
Chadema hatuhitaji watu wenye element za ukabila, udini kama wewe. Lakini tunahitaji watu walio na focus ya ujimbo na uchungu wa maendeleo ya majimbo yao. Hata hivyo utaona sera ya majimbo ni ya ccm kwani wametenga majimbo kikabila na Kidini. Chadema inahitaji kuiboresha tu.Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
Akili yako na jina lako vinakwenda sambamba. Ndio maana unaweza kuandika crap hapa. Rudisha fahamu na ondoa umbea hapa.Inaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!Kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura Bob Silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob Silaa aingie Ikulu(inawezekana wewe si miongoni mwetu au huingii kanisani-utatengwa na usharika!,vyama vyote vinavyojiita vya kiraia ambazo nembo zao(logo) zinaherufi ya msalaba + kama Tamwa,TGNP n.k wote walikuwa wakimpigia kapu Bob Silaa,wewe ulikuwa wapi! au ni mmoja wao?
Unajua jina lako kwetu linamaanisha(Reyes-bushwomen) isije ikawa ni kweli!
Kisha upange foleni ya wakina January, Vita kawawa na mdogo wake wa kike, Sokoine, Mwinyi, Mkapa, Sita, etc etc............... kisha utuambie na hao ni wana chadema? Usijaribu kutupia nyumba yako ya vioo mawe!!!!!!!!!!!!!!CHADEMA ni zaidi ya ukabila, ufamilia kabisa, vijana wanapatikana katika familia moja, Rozi kamili, Christina Lisu ............. huu si ufamiliaaaaaaa au Wana JF ambapo mi si mmoja wenu kama ni tawi la CHADEMA, CCM daima
....................................
sijawahi kuipa kura ccm na kamwe sitofanya hivyo. Chadema ni chama mbadala kama alivyotabiri mwalimu nyerere:nono::smile-big: