Jamaaunahoja dhaifu wewe! kwanza wewe fisadi tuuu huna lolote!Inaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!Kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura Bob Silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob Silaa aingie Ikulu(inawezekana wewe si miongoni mwetu au huingii kanisani-utatengwa na usharika!,vyama vyote vinavyojiita vya kiraia ambazo nembo zao(logo) zinaherufi ya msalaba + kama Tamwa,TGNP n.k wote walikuwa wakimpigia kapu Bob Silaa,wewe ulikuwa wapi! au ni mmoja wao?
Unajua jina lako kwetu linamaanisha(Reyes-bushwomen) isije ikawa ni kweli!
wanaJF wanashabikia CHADEMA kwenye komputa bila kuhiriki vilivyo kwenye mchakato. Hata angalau kwa kujitolea kuwa wakala kwenye vituo badala yake mmewaachia malumpeni wanaonunulika kirahisi walinde kura zenu! Tuulizane kabisa ulishiriki vipi kuleta ukombozi? Ulikuwa mgombea, wakala au utalamu wako ulitumika vipi na wapi kuhakikisha kura hazichakachuliwi? Tusipende sana kushangilia ushindi ambao hatukuhusika sana kuuleta.
Tatizo ni kwamba JF hatuulizani CV zetu hivyo ni vigumu kujibu hoja ya kila mmoja wetu. Tungekuwa tunajuana vilivyo tungegundua anayesema kuna udini CHADEMA ana elimu na ufahamu duni sana na wanaomjibu wamepoteza muda maana WAKATI tu ndio utakaomjibu kuwa hajui asemalo! NAMI NATANGAZA RASMI NIA JIMBO LA SUMVE 2015 WATACHAKACHUA HAWATAWEZA.
Tathmini yangu fupi ya mwenendo wa uchaguzi inaonesha kuwa kila sehemu ambayo Chadema iliweka mgombea makini, msomi, Kijana na mpiganaji wa ukweli katika Ngazi za Ubunge na Udiwani Chadema iliongoza kwa kura.
Dr Slaa alipata kura kiduchu sana maeneo ambayo chadema iliweka mgombea dhaifu ngazi ya Ubunge
Hali ilikuwa mbaya zaidi maeneo ambayo Chadema iliweka wagombea dhaifu wa Ubunge na Udiwani ni kukosa timu sahihi ya kampeni.
Wagombea Ubunge kama Thomas Nyimbo, Shitambala, Regia nk licha ya uwezo wao lakini katika baadhi ya kata waliangushwa na wagombea wasiouzika na wasiona hoja wa Udiwani.
Baada ya kutafakari kwa kina nimegundua kuwa sisi wana JF tunahusika kwani wengi wetu tungeweza kujitokeza kwenda kugombea na kuongeza kura kwa Chadema. badala ya kushabikia humu JF
Ni wakati wa kuamua sasa, Mshawishi na mwenzako tujitokeze. tutengeneze network, tufanye training za stage performance za kutosha, Tuandae wagombea serekali za mitaa na Udiwani kwenye kata zetu ili uchaguzi ujao tuweze kusaidia harakati.
Suala la kuiangamiza CCM haiwezi kufanya na Mbowe peke yake au Dr Slaa pekee, ni kazi yetu sote hasa vijana
Hima tuamke, tushikamane, tutambue wajibu wetu kwa Taifa hili
Mimi nimetangaza nia Isimani Iringa na naanza maandalizi mapemaaaaaa
2015 peopleeeeeeeezzzzzzzzz
i love it, 2015 tuweke wagombea makini majimbo yote... hadi sasa nimepata vijana 20 walioniunga mkono na wote watakuwa kwenye mchakato 2015
tunajipanga kuanzisha mchakato, training za kutosha na fundrising
muda utakapofika tutaweka matangazo hapa ya namna ya kuwasiliana na kubadilishana uzoefu lakini pia kujiandaa. 2015 is just next door
Hebu nipeni tathmini ya malipo pamoja na marupurupu ya diwani nione kama naweza shawishika kushiriki, nipo kikazi zaidi :wave: ........................
mimi ni muislamu swafiii lakini sijaona chembechembe za udini chadema, nitagombea ubunge isimani iringa ntaona kama chama kitanikataa sababu ya dini yangu.
hujui unachoongea wewe. bora unyamaze tu. mtoa mada kaeleza vizuri sana sasa wewe sijuini lipi huelewiInaonyesha wewe bado kinda kimawazo hata kufikiri kidogo washindwa!Kakobe kafunga kanisa siku ya jumapili na aliwaamuru wafuasi wake wakampigie kura Bob Silaa,wakristo wote tanzania tulipewa amri ya kukesha usiku wa kuamkia 31/10/2010 kumuombea bob Silaa aingie Ikulu(inawezekana wewe si miongoni mwetu au huingii kanisani-utatengwa na usharika!,vyama vyote vinavyojiita vya kiraia ambazo nembo zao(logo) zinaherufi ya msalaba + kama Tamwa,TGNP n.k wote walikuwa wakimpigia kapu Bob Silaa,wewe ulikuwa wapi! au ni mmoja wao?