The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,347
- 122,327
Anatumika kama Pilipili tu kwenye chakula,kuchangamsha mdomo.Ndio maana wanamfanya cocomelon jj doll😜
Anatumika kama Pilipili tu kwenye chakula,kuchangamsha mdomo.Ndio maana wanamfanya cocomelon jj doll😜
😄Anatumika kama Pilipili tu kwenye chakula,kuchangamsha mdomo.
Hahahahhaah,muonee huruma mwenzio😁Ndio maana wanamfanya cocomelon jj doll😜
Je Umesoma uzi, ama unaandika nawe uone Kane tu?Kijana utahangaika sana humu JF
Umesha fungua nyuzi za aina hii kwenye kila ID yako,
Yani kila siku unarudia kuandika yale yale tu kwa differents IDs,
Mabadiliko hayapo hivyo,mabadiliko hayatangazwi,
Una choice mbili tu za kufanya,
Haya njoo ubishane na hii comment kama kawaida yako.
- Tafuta shughuli ya kufanya ili ikukeep busy,
- Usiichukulie too serious JF,hii forums ipo kabla yako na itaendelea kuwepo baada yako,acha kuteseka kwa watu usio wajua wala wasio kujua,
Je, wewe leo dada si Nilikwambia uje katika pm yangu, na sasa wasema kuwa utani kausha damu... Je wanifahamu?Aliomba kitu kwa leo dada akajibiwa yeye hamuwezi huyo sababu bidada anazeeka na tabia ya kupenda pesa wakati mdau yeye anatabia ya omba omba hapa JF.
Ndio maana wanamfanya cocomelon jj doll😜
Nani aliye kulisha hiyo sumu mbaya?Na pengne madini aliyonayo Kichwan yameisha. Akaamua kuja kwa namna hii ili awepo tu midomoni kwa watu.
Atapenda attention na Publicity.
Na mara ingine sio wa kumlaumu sana.
NB: alafu imenifanya nifikirie kwa namna nyingne.
mara nyingi tabia za wanaume wafupi ni kujionyesha kuwa yuko hasa kwenye kundi la watu wengi, na anajisihi mara zote haheshimiwi, au watu hawamzingatii, ndio maana atapambana sana ili uwepo wake uonekane.
Anyway sijasema yeye ni mfupi.
Psychology inasema hivyo.Nani aliye kulisha hiyo sumu mbaya?
Muweke kwa ignore List.Kati ya watu ninaowachukia vibaya katika hili jukwaa ni wewe Mr VAR... Haki nikipewa sniper na kufyatua tena ya kichwa kabisa bila huruma
Hahaaa. Kwa hali hiyo utaishi kwa shida sana humu.Aisee, 🤣 🤣 🤣 sitaki kuwa ordinarily I was born to shine
FactsMuweke kwa ignore List.
Dont reply comments zake.
Hawezi kushoboka na ww.
Sasa yeye anareply na kisukari chake na ww unareply na kisukar chako.
Ni Vicious Cycle.
Ila Mwanetu njia rahisi sana ni ignore.
Muweke kule wajomba wanakaa.😊😊😊😊