Wana JF niwatake radhi.

Wana JF niwatake radhi.

Acha drama, Sina hulka za kulilia hela humu.
Kijana utahangaika sana humu JF
Umesha fungua nyuzi za aina hii kwenye kila ID yako,
Yani kila siku unarudia kuandika yale yale tu kwa differents IDs,
Mabadiliko hayapo hivyo,mabadiliko hayatangazwi,

Una choice mbili tu za kufanya,
  1. Tafuta shughuli ya kufanya ili ikukeep busy,
  2. Usiichukulie too serious JF,hii forums ipo kabla yako na itaendelea kuwepo baada yako,acha kuteseka kwa watu usio wajua wala wasio kujua,
Haya njoo ubishane na hii comment kama kawaida yako.
 
JF Community Engagement Guidelines

6) Fupisha habari yako:
Usipoteze muda wa washiriki wengine kwa kutoa taarifa ndefu inayojirudia rudia. Iweke hoja yako kwa uwazi, kwa ufupi na inayoeleweka.


13) Kujaribu kukwepa kufungiwa: Unapoingia katika akaunti yako ukakutana na ujumbe kuwa umefungiwa, tafadhali wasilisha ombi la kufunguliwa akaunti yako kwa waendeshaji wa mtandao huu ili kuwa na makuabliano juu ya sababu zilizopelekea ukafungiwa. Mkifikia makubaliano, utaruhusiwa kutumia akaunti yako bila shida. Usijisajili tena kwa jina lingine hata kama mfumo wetu ukikuruhusu. Ukijaribu kujisajili tena na tukakubaini, itasababisha kufungiwa moja kwa moja.

Moderator
 
Wanabodi, kwanza kuna perception ambayo ni so negative kunihusu, kuna member wengi sana humu wenye chuki na mimi, wananiona kama mtu mkaidi, wala nisiye na staha

Niamini mwanetu . Hakuna mwenye chuki na wewe.

Wengi wanakugagasi gasi kwasababu wanajua utawajibu kwasababu unapenda attention na pia kisukari chako kiko juu. So utapanic haraka.
Na wao wakiona umepanic wanazidi kukuchokonoa zaidi.

But As you said. Sometimes wanafanya as mautani ya hapa na pale.
Kwahiyo Dont take it serious mwanetu.

Wanaume tumeumbiwa kumeza vitu vichungu. Kama mtu kakukera, mezea na usimjibu.

kuhusu radhi. Wamekusikia.
 
JF Community Engagement Guidelines


13) Kujaribu kukwepa kufungiwa:
Unapoingia katika akaunti yako ukakutana na ujumbe kuwa umefungiwa, tafadhali wasilisha ombi la kufunguliwa akaunti yako kwa waendeshaji wa mtandao huu ili kuwa na makuabliano juu ya sababu zilizopelekea ukafungiwa. Mkifikia makubaliano, utaruhusiwa kutumia akaunti yako bila shida. Usijisajili tena kwa jina lingine hata kama mfumo wetu ukikuruhusu. Ukijaribu kujisajili tena na tukakubaini, itasababisha kufungiwa moja kwa moja.

Moderator
Mkuu hivi ukisha pigwa Ban,inawezekana kuwasiliana na JF mods wakati upo kwenye Ban?
 
1792576792866.png
 
JF Community Engagement Guidelines

6) Fupisha habari yako:
Usipoteze muda wa washiriki wengine kwa kutoa taarifa ndefu inayojirudia rudia. Iweke hoja yako kwa uwazi, kwa ufupi na inayoeleweka.


13) Kujaribu kukwepa kufungiwa: Unapoingia katika akaunti yako ukakutana na ujumbe kuwa umefungiwa, tafadhali wasilisha ombi la kufunguliwa akaunti yako kwa waendeshaji wa mtandao huu ili kuwa na makuabliano juu ya sababu zilizopelekea ukafungiwa. Mkifikia makubaliano, utaruhusiwa kutumia akaunti yako bila shida. Usijisajili tena kwa jina lingine hata kama mfumo wetu ukikuruhusu. Ukijaribu kujisajili tena na tukakubaini, itasababisha kufungiwa moja kwa moja.

Moderator
Naomba nijue namna bora ya kuwasiliana na staff ya jf endapo mtu atakuwa akapigwa ban
 
Back
Top Bottom