Wana JF niwatake radhi.

Wana JF niwatake radhi.

As a penis enlargement surgeon niseme tu kwamba unapenda kujipa umuhimu usiokuwa nao. Mimi nimeipokea radhi yako, tulia sasa ubadilike sawa?.

Nje ya mada:
Umewahi kulala na mwanamke kweli wewe? (Hata kwa bahati mbaya)
Je, Unafurahia saizi ya uume wako?
 
Hiyo habari ya "nimeongelea maswala sensitive sana humo" ndiyo kujipa umuhinu kwenyewe.

Waache watu wengine waseme kama ni masuala (masuala, si maswala) sensitive sana au uduanzi tu.

Usilazimishe wewe unayesema kuyafanya yawe sensitive sana.

Unaweza kuwa unajipa umuhinu tu bila sababu.
Sawa sawa mzee kiranga
 
As a penis enlargement surgeon niseme tu kwamba unapenda kujipa umuhimu usiokuwa nao. Mimi nimeipokea radhi yako, tulia sasa ubadilike sawa?.

Nje ya mada:
Umewahi kulala na mwanamke kweli wewe? (Hata kwa bahati mbaya)
Je, Unafurahia saizi ya uume wako?
Sipendelei surgery maana ni sawa na kumkufuru muumba wako
 
Watu wafupi mara nyingi wanapenda kuonyesha tabia za ushindani mkubwa, kujiamini kupiliza, au kutaka kusikilizwa zaidi.

tofauti na watu warefu au wenye kimo wastani.

Ww si unaishi kwenye Jumuiya ya watu. Angalia tabia zao na jinsi Mind zao zinavyofanya kazi wakiwa miongoni mwa watu.

Nimesema hivyo kwa kuwa BICHWA KOMWE - ni andunje na unaona anavyojitutumua😊😊😊😊
Hahaha ndo naskia leo, kumbe bichwa ni andunje?
 
Back
Top Bottom