Wana JF nisaidieni, jogoo langu limekuwa kero kwa wanawake

Kaka fanya mpango utafute mwingine uone kama mashane itasleep again, then urudishe feedback kwa jf members tutajua cha kufanya.
 
Nenda kwa Dr Paul Nelson, daktari wa mapenzi, anapatikana mwanza, huenda akakupa ushauri na jinsi ya kufanya. Kwa maelezo zaidi sikiliza radio free kati ya J3, j5 au ijumaa, saa tano ya usiku.
 
Habari zenu, kabla ya yote napenda kuwapongeza wana JF wote kwa mchango wenu ambao mmekuwa mnaotoa kupitia humu JF. Mimi tatizo langu kubwa linalonisumbua kifupi tu mi nikijana mwenye umri wa miaka 25 (sijaowa) tatizo langu jogoo langu nikubwa mno kiasi kwamba mpaka imekuwa kero yani mpaka nakosa raha nimeshakimbiwa na wapenzi wengi sana. Nimejaribu kuomba ushauri kwa wa2 kuna mzee alinishauri nitafute mwanamke ambaye ana shimo kubwa (mwenye uke mkubwa) akanishauri nitafute wa2 wa mkoa wa Kagera(wahaya) ndo ntawezana nao kwa bahati nzuri nikabahatika kumpata huyo binti wa kihaya lakini cha ajabu nilipotembea nae siku 1 tu cku hiyo huyo binti alitoka nje anapiga mayowe. Yani cwafiji hapa mtaani kwe2 nimekuwa gumzo kwa wanawake kiasi kwamba mabinti wote wananiogopa imefikia ha2a najiuliza kwanini Mungu aliniumba? ndugu wana Jf wote, naombeni mnisaidie mwenzenu nateseka swali langu je kuna dawa ambayo inapunguza maumbile? Kama kuna yoyote ambaye anaweza kunisaidia ntashukuru sana. Nawakilisha kwenu.......
kabla ya yote nakushauri uliombe radhi hilo kabila ulilolidhalilisha....!Halaf inaonesha kwamba huna lolote, unatafuta umaarufu tu humu ndan! Maelezo yako yanaonesha kuwa kitu unachosema hakina ukweli wowote! Mjomba kama huna vitu vya kupost ni bora uwe mchangiaji tu! Kwan ni lazma kila mtu apost?
 
sasa wewe unafuata vident ambavyo havijui kitu? hao wanawake waliokukimbia ni aina gani kwanza? hiyo nanino yako yaweza fikia kichwa cha mtoto anapozaliwa? sasa je? tafuta mwanamke mwenye age ya kutoshasi pungufu ya 20yrs. muandae kwanza mpaka alowane wenyewe, kisha si lazima kuingiza yote siku ya kwanza, kidogo kidogo, kila mnapokutana usiwe na papara inaweza kuchukua muda, lakini nakwambia itafika siku, hiyoooooo kilaini. LAKINI nivizuri ukampata msichana ambae atakupenda kwa moyo wake wote, abae yuko teyari kwa lolote juu yako.

mzee ikiingia unitaarifu basi.
 
kabla ya yote nakushauri uliombe radhi hilo kabila ulilolidhalilisha....!Halaf inaonesha kwamba huna lolote, unatafuta umaarufu tu humu ndan! Maelezo yako yanaonesha kuwa kitu unachosema hakina ukweli wowote! Mjomba kama huna vitu vya kupost ni bora uwe mchangiaji tu! Kwan ni lazma kila mtu apost?
<br />
<br />
siwezi kukulaumu kwani usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
 
tatizo lako unadindisha mpaka mwisho!punguza munkari kidogo, try to put ur dick to average erection and not maximum one! funny eeh...
 
Back
Top Bottom