Wana JF, niko njia panda juu ya mdada huyu

Wana JF, niko njia panda juu ya mdada huyu

umejitoa muhanga asee,una uhakika yy au jamaa yake au hata ndugu,jamaa na marafiki hawapo humu??maana umetaja anapoishi,aliposoma,kazi anayofanya na mwezi wa harusi,hebu ngoja tuone kitachokupata
 
Nimeisoma yotee ila nilivyokuta neno singida tu basi uyi ni mnyaturu ndo asili yao umalaya anyway we endelea nae ivo ivo kwa siri zaa nae usiogope ila omba usifumwe marinda yako yatatatuliwa
Yani mkuu umeongea point, tupo nao wengine huku Arusha wailaqk/wambulu , nilivyokuwa mgeni nilijihisi ni handsome boy maana nilikuwa nakula karibia familia yote, baada ya kuja kuwajua vizuri sina hata hamu nao.
 
nimekusoma sana nmeamini experience matters..mabahari amtu kam ahuyo hatupati shida wala kumuuliza mara mchumba wako mara tutazaaje..jiongeze...pale we jua unajilia yeye ndio anajua anaolewa sasa wewe usiingilie kumuuliza maswali...sehemu zote alizonuna ulitakiwa ujiongeze usimuulize kabisa...hapa maana yake we jipigie at your own risk..halafu anamtukana mtu aaliyesema amekumiss kwenye comment basi huyu mwanamke ni zero brain kabisa..au buyu ....anazingua public comments .....ma video call yote sijui yani unashangaa nini sasa kuwa BAHARIA hapa akiolewa potea tu sio tena awe na jamaa lin awivu kuliko waanze kudundana ndani ...

asipokuelewa tena baaaas
 
Yani mkuu umeongea point, tupo nao wengine huku Arusha wailaqk/wambulu , nilivyokuwa mgeni nilijihisi ni handsome boy maana nilikuwa nakula karibia familia yote, baada ya kuja kuwajua vizuri sina hata hamu nao.
Nikitaka kusahau na ayo makabila ma2 ni kama ndugu vile
 
Nimeisoma yotee ila nilivyokuta neno singida tu basi uyi ni mnyaturu ndo asili yao umalaya anyway we endelea nae ivo ivo kwa siri zaa nae usiogope ila omba usifumwe marinda yako yatatatuliwa
BORA UMWAMBIE AACHANE NAE TU
 
Ndoa za sikuhizi, hata kwenye harusi utaalikwa. Ila usizae nae na kumbuka ni hatari sana mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom