Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,270
- 6,343
Kula vitu ww acha uboya
Ikumbukwe Huyu Demu kamaliza UDOM mwaka juzi.
Mwezi wa 4 Demu aliniomba niende kwao singida,Nikamwambia labda tufanye mwez 5 coz kuna mishe flani nafanya mwez wote wa 4,Akakubali japo kinyonge,Hapa sasa naweza kusema tulikuwa ni kama wapenzi kabisa
Pia ndo nikajua yeye ndo ana simamia biashara za mama yake hasa maduka ya vipodoz mawili na saloon pamoja na mgahawa mkubwa tu pale singida.
Nakumbuka Mwez 1 alipost picha akiwa na jamaa yake,Kutokana na walivyo kuwa wamependeza ilibidi tu nicomment Hivi *Daah aisee wakubwa wenye hela wana faidi*
Huyu mdada mim sikuwahi kumtongoza kwa sababu alikuwa akimpost mwanaume ambae alionekana ni kama mchumba/mpenzi wake.
Tarehe 2 mwez 5 mim na yeye huyu demu ndo tulikutana naye kwa Mara ya kwanza uso kwa macho nikiwa nimetoka Dar na Harrier ya watu
Ilivyo fika mida ya saa moja kama na nusu demu akanambia twende ukapumuzike,nikamwuliza wapi,akasema wew twende tu,Ikabidi tuingie kwenye gari akawa ananielekeza njia ya kupita mpaka tukafika lodge moja,Nikapaki gari tukaingia mpaka mapokez then tukapewa funguo,Tumefika room sikutaka mambo mengi nilimvaa kama short ya umeme,Ikawa ndo Mara yetu ya kwanza kukutana kimwili (sex)
Huyu demu naweza sema toka tuanze kukutana mwez wa 5 nimesha kutana naye zaid ya Mara 6 mana kila weekend lazima aje mwanza
Mara ya kwanza nilikuwa nahisi hana mchumba labda ananiongopea tu, lakin huo ndo ukweli mwez wa 10 ni harusi na vikao vishaanza,Pia akimpost mchumba wake kule fb unakuta pia marafiki na ndugu wana comment kuwa wameisubiri harusi yao kwa hamu mwezi wa kumi.
Tangu mim na yeye tuanze mahusiano amewahi kunipost Mara mbili kwa kusema mim ni rafiki yake
Huu usnitch mkali[emoji1] [emoji1]Wewe mwanaume ambaye unajua ya kwamba una mchumba anaishi mkoa wa Singida, mchumba wako huyo alisoma na kumaliza UDOM mwaka juzi...
Tena mchumba wako huyo kwa sasa ni msimamizi wa biashara za mama yake...
Zaidi mwezi Januari mchumba wako huyo alikupost FB, na kuna mwanaume mwingine aliandika maneno haya hapa chini katika comments....
Basi tambua ya kwamba mwanamke wako huyu hajawahi kutongozwa kwa kuwa ana mchumba wake ambaye ni wewe...
Lakini pamoja na kwamba hakuwahi kutongozwa, ila siku hii hapa chini alikutana na mwanaume mwingine...
Na wakaenda kupumzika katika Lodge, na huko mchumba wako akaliwa bila hata mtongozo...
Na kuliwa hakukuishia hapo tu, bali hadi leo analiwa kila inapofika weekend,maana kila weekend anapeleka kifanyio chake Mwanza. Kama mchumba wako huwa anakudanganya anaenda Mwanza kufuata mzigo basi jua si mzigo wa biashara bali mzigo wa mwanaume mwenzako...
Taarifa hii ikufikie wewe mwanaume, unayetarajia kuoa mwezi wa kumi na mchumba wako yupo Singida a.k.a Singapore
Na mgoni wako ni huyu ambaye ashawahi kupostiwa mara mbili na mchumba wako...
Hii ni kwako wewe mwanaume mwenye mchumba SINGIDA
😠😠😠Acha hzo manWewe mwanaume ambaye unajua ya kwamba una mchumba anaishi mkoa wa Singida, mchumba wako huyo alisoma na kumaliza UDOM mwaka juzi...
Tena mchumba wako huyo kwa sasa ni msimamizi wa biashara za mama yake...
Zaidi mwezi Januari mchumba wako huyo alikupost FB, na kuna mwanaume mwingine aliandika maneno haya hapa chini katika comments....
Basi tambua ya kwamba mwanamke wako huyu hajawahi kutongozwa kwa kuwa ana mchumba wake ambaye ni wewe...
Lakini pamoja na kwamba hakuwahi kutongozwa, ila siku hii hapa chini alikutana na mwanaume mwingine...
Na wakaenda kupumzika katika Lodge, na huko mchumba wako akaliwa bila hata mtongozo...
Na kuliwa hakukuishia hapo tu, bali hadi leo analiwa kila inapofika weekend,maana kila weekend anapeleka kifanyio chake Mwanza. Kama mchumba wako huwa anakudanganya anaenda Mwanza kufuata mzigo basi jua si mzigo wa biashara bali mzigo wa mwanaume mwenzako...
Taarifa hii ikufikie wewe mwanaume, unayetarajia kuoa mwezi wa kumi na mchumba wako yupo Singida a.k.a Singapore
Na mgoni wako ni huyu ambaye ashawahi kupostiwa mara mbili na mchumba wako...
Hii ni kwako wewe mwanaume mwenye mchumba SINGIDA
Dah fb madem wako very cheap mpaka huruma yan.Huko Fb wananifata sana inbox licha ya kuweka DP nipo na Alvin.
Wanawake wa siku hizi bhana yaani pasua kichwa sana
Mzee Mkuyenge asisahau kutuletea mrejesho tuAm in I nakuambia atauwawa
Umeshamaliza nilichotaka kuongeaNimeisoma yotee ila nilivyokuta neno singida tu basi uyi ni mnyaturu ndo asili yao umalaya anyway we endelea nae ivo ivo kwa siri zaa nae usiogope ila omba usifumwe marinda yako yatatatuliwa
hii nilikuwa nairuka..ngoja nkasomeDuh aiseee NAIPENDA JUMAMOSI YANGU, utafute huu uzi (story) ipo humu jf ndio utajua akili zawanawake zinamavi kiasi gani