Wana JF, niko njia panda juu ya mdada huyu

Wana JF, niko njia panda juu ya mdada huyu

Come on mkuu what if your future wife wangekua wanamfanya hivo, karma don't cheat what goes around comes around, kama umethibitisha kweli anaolewa leave her alone huwezi jua jamaa yake katoka nae wapi na kaweka hopes kiasi gani kwa uyo mwanamke.. be human.
 
Singida singidani !!
strory za hivi kama ni ukweli ndo huwaga zinaniaminisha na kutokuwamini hawa wanawake na mapenzi kwa ujumla hata katika hali ipi...hivi hebu imagine mtu unamuoa mwezoi wa kumi halafu anafanya ujinga kama huu na huku akijua kabisa kwamba anaolewa kama hamtaki msela si bora amchane tuu ila kwa bora nitafuta pesa at least naweza kuziamini
 
Come on mkuu what if your future wife wangekua wanamfanya hivo, karma don't cheat what goes around comes around, kama umethibitisha kweli anaolewa leave her alone huwezi jua jamaa yake katoka nae wapi na kaweka hopes kiasi gani kwa uyo mwanamke.. be human.
dah mkuu una jua viumbe wachache sana ndio wanafanya hii dunia inaku na vita hebu fikiri jamaa akija kugundua atamfanya nini huyo demu pamoja na mtoa mada...i hope mungu angetoa haya mapenzi tukawa tunazaliana kama wanyama no feelings ila mambo mengine yakabakia kama mawaida
 
aisee...kumbe wewe siyo rafiki yake..ndoa nasitisha Sasa.dah
 
Nimeisoma yotee ila nilivyokuta neno singida tu basi uyi ni mnyaturu ndo asili yao umalaya anyway we endelea nae ivo ivo kwa siri zaa nae usiogope ila omba usifumwe marinda yako yatatatuliwa
Yani mkuu! Nlikuwa na mnyaturu mmoja aisee japo kaolewa ila anagawa balaa
 
Mchumba wake kama yuko humu na pia Fb, walah atakupata! Maelezo yako yamewaweka 'upenuni'
Yaaninhuyu jamaa kamuanika mdada wa watu. kama kuna mtu wa Singida humu kwa details alizozitoa jamaa tayari kaisha mfahamu huyo demu
 
Unataka uambiwe nini sasa!? Kwani huoni kinachoendelea au?
 
strory za hivi kama ni ukweli ndo huwaga zinaniaminisha na kutokuwamini hawa wanawake na mapenzi kwa ujumla hata katika hali ipi...hivi hebu imagine mtu unamuoa mwezoi wa kumi halafu anafanya ujinga kama huu na huku akijua kabisa kwamba anaolewa kama hamtaki msela si bora amchane tuu ila kwa bora nitafuta pesa at least naweza kuziamini
Chai inajulikana ila kwa jinsi jamaa alivyoandika ni kweli
 
Namuonea huruma muoaji hajui kama anabeba gunia lenye misumari
 
Vipi card ya mwaliko umepewa?
Alikutambulisha kwao kama nani kisha ukaenda nae guest kwa kutumia gari la mteja wako?
Anamiliki biashara za mama yake na saloon na kwao wana maisha mazuri kuliko wewe,je nani alilipa gharama za mlipolala siku hiyo?
Utajisikiaje kama kwa mtililiko uliotoa hapa jamaa kasha kufahamu kupitia post ile uliorushwa kama rafiki?Nakushauri achana nae kwa vile ana mchumba wake,utafanyiwa kitu mbaya mpaka utashindwa kukaa na gari hutaendesha tena
 
Vipi card ya mwaliko umepewa?
Alikutambulisha kwao kama nani kisha ukaenda nae guest kwa kutumia gari la mteja wako?
Anamiliki biashara za mama yake na saloon na kwao wana maisha mazuri kuliko wewe,je nani alilipa gharama za mlipolala siku hiyo?
Utajisikiaje kama kwa mtililiko uliotoa hapa jamaa kasha kufahamu kupitia post ile uliorushwa kama rafiki?Nakushauri achana nae kwa vile ana mchumba wake,utafanyiwa kitu mbaya mpaka utashindwa kukaa na gari hutaendesha tena
Bro,mim sijaja humu kuomba ushauri eti kisa namwogopa jamaa yake,Mim najiamin siwez kufanyiwa kitu kibaya,kabla hujanifanyia unaweza jikuta mim ndo nishakufanyia wew,Nimekuja kuomba ushauri ili mnisaidie kumwelewa huyu demu cz vitu anavyo fanya haviendan na mtu anaye tarajia kuwa mke wa mtu mwez wa 10.
 
Yani mkuu! Nlikuwa na mnyaturu mmoja aisee japo kaolewa ila anagawa balaa
Yani wale uzuri wa bure tu kwa asie wajua anaweza ogopa hata kuwatongoza kwa jinsi walivyo konki mara wengine mixer ma hijab ila ni simple kinyamaaa kama unamsukuma mlevi

Nimewatomb@ kirahisi mno alafu siwatongozi, mfano kuna mmoja nilikua na mazoea nae ya kawaida tu nikamwita mahala nilimuandalia zawadi flani hiv akaja nikampa mwisho nikamwambia poa nenda,

ile anageuka nikamshika mkono alaf nikamwangalia kistrange kiuchu uchu bila kumuongelesha kitu nikaruhusu akili yake ichanganue,nikamwambia flani mbona unanifanyia hivi ye "nini kwani" wakati namuongelesha ule mkono nikawa kama naukanda vidole vyake vinenevinene

Akafanya kama kushusha pumzi huuuh alaf akageuka kuashiria asepe nikamvuta tena then nikamsogelea closerr nikatest denda imo nami nikipiga denda lazima niguse kiuno na takro lazima liminywe ,haa naona karidhia nikasema usinitanie gheto alikua mbal na pale nikamwambia hapa watu watatuona twende kwang mara moja akasita sita mwisho tukaenda nikal tani yangu
 
Kabisa mkuu waswahili wanasema 'Watu wengine wanaishi sababu kuua ni kinyume na sheria' jambo la kipuuzi kama hili ambalo hata mtoto wa shule msinguli anaweza lifanyia maamuzi. ..mtu anakuja kuomba ushauri wakati anajua kabisa kua anakosea na anamkosea mwenzie, Mungu angetoa kitu mapenzi na siasa hapa duniani ingekua paradiso ndogo.
dah mkuu una jua viumbe wachache sana ndio wanafanya hii dunia inaku na vita hebu fikiri jamaa akija kugundua atamfanya nini huyo demu pamoja na mtoa mada...i hope mungu angetoa haya mapenzi tukawa tunazaliana kama wanyama no feelings ila mambo mengine yakabakia kama mawaida
 
Namjua huyo mdada kaua mafala wengi kwa ukimwi

Pole , ntakusanya rambi rambi zako !
 
Hawa wanawake bhana Mimi siku alikuja kwangu akakaa Wiki alafu akaniaga anaenda kusimamia harusi ya rafiki yake kumbe anaolewa yeye baada ya siku mbili akarudi kwangu kakaa Wiki tena alafu kasepa kwa mme wake daaah Yule jamaa nilimuonea huruma ila sasa nifanyeje[emoji16]
 
Ni stori flani hivi tamu ya mapenzi.....kitabu gani hicho?
Samahani wapendwa,Mimi siyo mwandishi mzuri Ila naomba mnielewe kwa chochote nitakacho kuwa nimeandika.

Kuna mwanadada nimekuwa na mahusiano naye toka mwezi wa kwanza,Naweza kusema mahusiano yetu yameanzia Facebook.

Huyu mdada mimi sikuwahi kumtongoza kwa sababu alikuwa akimpost mwanaume ambae alionekana ni kama mchumba/mpenzi wake.

Mara nyingi nilikuwa nacomment na kumsifia huyu Dada kutokana na uzuri wake huku rohoni nikiumia kila ninapoona akimpost yule jamaa wamekumbatiana wakiwa sehemu nzuri nzuri za starehe.

Kutokana na pigo na mwonekano wa huyu mwanadada nilikuwa najisemea kimoyo moyo kuwa Mimi siyo type yake kabisa, Hasa ukilinganisha na maisha yangu yalivyo.

Ikumbukwe huyu Dada toka kipindi tuwe marafiki fb hakuna aliyewahi kumtafuta mwenzie inbox (messenger), Mawasiliano yetu yalikuwa yanaishia kwenye comment pale. Naweza kusema huyu Dada hakuna siku niliwahi comment kwenye post zake akaacha kureply,kitu ambacho nilikuwa navutiwa naye.

Nakumbuka Mwez 1 alipost picha akiwa na jamaa yake,Kutokana na walivyokuwa wamependeza ilibidi tu nicomment hivi

''aah aisee wakubwa wenye hela wana faidi''

Isivyo kawaida yake hiyo comment hakujibu,nikaanza kuhisi ntakuwa nimemkera,nikataka nikaidelete ile comment ila nafsi ikagoma.

Kusema ukweli nilishinda siko sawa mana nilihisi atakuwa kakasirika sana,siku hiyo mida ya usiku nikiwa nimepumuzika nikapata wazo nikadelete ile comment

Kabla sijaenda kuifuta nikawa nimeona text imeingia messenger, kuchek hivi ni yule Dada,haikupita hata 2sec nikawa nimejibu ile text,Katika kuchat chat ndo akanambia kuwa hajapenda nilichocomment

Nikamwambia anisamehe,Akajibu usijali sisi binadamu wote ni Sawa,Pia haitoshi niko simple sana

Nakumbuka siku ile tulichat mpaka saa 6 usiku,akaniuliza nafanya kazi gani. Nikamjibu mishe ninazofanya, na yeye akanielezea vitu vyote vinavyomhusu mpaka familia yao yote na akawa ameniambia kuwa ana mchumba (yule anae mpost) na harusi yao ni mwez wa 10 mwaka huu.

Licha ya kuchat naye usiku huo lakini sikumwomba namba ya simu maana nilikuwa nishajiona kwake ni kama mbingu na Aridhi,In short Kwa huyu demu nilijiona sina thamani mbele yake,na kilichokuwa kinaniboa zaidi alikuwa ananiita mdogo wangu.

Ilibidi nimfanye kama rafiki tu basi.

Huyu Dada licha ya kuniambia kuwa ana mchumba wake Lakini alikuwa anapenda akiwa ana chat na mimi mara kwa mara,mara aingize masuala ya mapenzi mara hivi,Ikumbukwe muda wote huo tuna chat tu fb.

Nakumbuka mwezi wa pili mwaka huu ndo alinitumia namba yake ya simu,Alinambia amechoka kuchat fb so tuhamie offline,Nikamcheki tukawa tunachat sana,Mara aniite mpenz,nikawa nashangaa tu,akiwa amelala ananitumia sms tukalale wote mana anahisi baridi.

Baada ya kuona huyu demu anazidi kuniletea za kuleta ikabidi siku moja nijitoe fahamu,Nilimwomba tufanye game ya kirafiki siku moja,Daah huwez amini hiyo text aliisoma lakin hakujibu chochote mpaka inafika nusu saa haikujibiwa

Nikazima data nikalala,nilivyoamka asubuhi nikawasha data ili kucheki kama amejibu nikakuta holllaaa,nikasema potelea mbali siwez chat na demu ambaye sijui mwisho wake

Nikaingia kwenye contact list nikadelete namba yake,Haiwezekani asome text halafu aache kunijibu.

Zilipita kama siku mbili hivi ndio nikaona text yake cz namba yake nilikuwa naijua tarakimu mbili za mwisho,Ikabidi na mimi nimwoneshe jeuri

Alituma kama text tano za kulalamika why namchunia ndio kidume nikajibu nilikuwa busy,Hapo hapo demu yeye mwenyewe akaomba tukutane,Ikumbukwe muda wote huo mimi na yeye tulikuwa hatujawahi kukutana zaidi ya kutumiana picha na video call.

Mwezi wa 4 demu aliniomba niende kwao Singida,Nikamwambia labda tufanye mwezi 5 coz kuna mishe fulani nafanya mwezi wote wa 4,Akakubali japo kinyonge.

Hapa sasa naweza kusema tulikuwa ni kama wapenzi kabisa mpaka nakawa nahisi huyu Demu alinidang'anya yule siyo mchumba wake,Tulikuwa tunapigiana video call WhatsApp usiku akiwa uchi kabisa,Nikimwuliza,Hivi una mchumba Kweli? anakasirika,Ikabidi hayo ya yeye kuwa na mchumba nimwachie yeye, atajijua.

Bahati nzuri mwez 5 nikawa nimepata dili la kufuata gari la mzee mmoja Dar, Ieleweke mim hii pia ndio kazi yangu kusafirisha magari,Dar to Mwanza,Dar to Rwanda,Kongo,n,k

Nafanya hiyo kazi kama niko likizo lakini.

Tarehe 2 mwezi 5 mimi na yeye huyu demu ndio tulikutana naye kwa Mara ya kwanza uso kwa macho nikiwa nimetoka Dar na Harrier ya watu[emoji3][emoji3][emoji3]. Hakuwa na utofauti na picha zake wala video call zake,Ilibidi anipeleke mpaka kwao,kusema ukweli wana maisha mazuri sana hasa ukilinganisha na fala mimi. Pia ndo nikajua yeye ndo anasimamia biashara za mama yake hasa maduka ya vipodozi mawili na saloon pamoja na mgahawa mkubwa tu pale Singida.

Baada ya kumaliza kusalimia Ikabidi nimwambie nataka kuendelea na safari yangu kurudi Mwanza,akasema huwezi kwenda lazima ulale hapa,Daah kwa hiyo nilale hapa na haitoshi kanitambulisha kama rafiki,,nikajisemea kimoyomoyo hapa natoka kapa.

Ilivyofika mida ya saa moja kama na nusu demu akanambia twende ukapumuzike,nikamwuliza wapi,akasema wewe twende tu,Ikabidi tuingie kwenye gari akawa ananielekeza njia ya kupita mpaka tukafika lodge moj. Nikapaki gari tukaingia mpaka mapokezi then tukapewa funguo,Tumefika room sikutaka mambo mengi nilimvaa kama short ya umeme,Ikawa ndo Mara yetu ya kwanza kukutana kimwili (sex). Mida kama saa 6 Usiku akanambia nimpeleke nyumban kabla ya mama yake hajarudi. Ilibidi nifanye hvo then mim nikanyoosha moja kwa moja mpaka mwanza.

Huyu demu naweza sema toka tuanze kukutana mwezi wa 5 nimeshakutana naye zaid ya Mara 6 mana kila weekend lazima aje Mwanza,na kinachonishangaza zaidi amekuwa ni mtu wa wivu sana

Juzi kuna demu kacomment kwangu fb kuwa amenimiss,kamtukana sana,Ikabidi nimwambie yule ni classmate wangu na saivi yuko pale UDSM ni dent,nikamwomba asifikirie vingine,tukawa tumeelewana vizuri,Cha kushangaza tena zaidi amekuwa akiniambia kuwa nisije kumuacha[emoji22][emoji22]

Mara ya kwanza nilikuwa nahisi hana mchumba labda ananiongopea tu, lakini huo ndo ukweli mwezi wa 10 ni harusi na vikao vishaanza,Pia akimpost mchumba wake kule fb unakuta pia marafiki na ndugu wana comment kuwa wameisubiri harusi yao kwa hamu mwezi wa kumi.

Tangu mimi na yeye tuanze mahusiano amewahi kunipost mara mbili kwa kusema mim ni rafiki yake,Hiyo mimi siyo mbaya ila huwa nabaki njia panda anaposema kuwa nisije kumsaliti na wakati anajua kabisa yeye anaolewa!!

Na anasema lazima tuzae Mtoto,Ukimwuliza tutazaaje Mtoto na wakati unaolewa,ananuna na kubadilika kabisa.

Ikumbukwe Huyu Demu kamaliza UDOM mwaka juzi.

Nimeanza kuwa na wasi wasi na huyu Demu ndio mana nimeamua kuja kuomba ushauri huku.
 
Back
Top Bottom