masumbuko dogo
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 456
- 118
Baadhi ya wapiga Ramli ambayo siyo chonganishi wameona Mh.Rais hatotia signature kwenye hii Miswaada iliyopitishwa EXPRESS...kumbuka mbunge wa Cuf alisimama na kumtahadharisha Spika kwamba hakuna akidi ya kupitisha mswada kufuatana na kanuni zao lakini Ndugu Spika(saa ingine mimi ACT)akaminya.Hii sheria ni ngumu siyo rahisi kama wanavyodhani...au October ikimalizika itafutwa kama ikipata signature.ile ya Takwimu pia.Jamaa wanataka mtia mkenge Mh.Rais(hapa natoka ACT)kama vile jura ya maoni.Wapiga ramli wanasema Mh.kawashutukia.