My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 800
- 2,128
duh, upagani haujawahi kumuacha mtu salama.
Haya kakojoe ukalaleMkuu,
Sina vyote dini na imani.
Unaposema huna dini ina maana una imani ya kutoamini dini sasa unataka nini?Habari wana JF.
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu.
Issue Iko hivi , binafsi sina dini yoyote hapa duniani.
Sasa naomba msaada.
Naomba Kama mnataka niingie kwenye dini-
Like huu uzi
Na endapo idadi ya likes zitafika 10,000+ katika huu uzi basi nitajiunga katika dini.
Kwa hiyo, ukiisha like huu uzi, unaruhusiwa pia kunipendekezea dini ya kujiunga.
Kama hutoi like usipendekeze dini ya kujiunga.
Asante sana naamini, mtanipatia likes zaidi ya 10, 000+ ili hatimaye nijiunge na dini mtakayo nipendekezea.
Ukarimu wenu jamani ili nijiunge dini.
Chanzo:
.Poise. (Mimi mwenyewe mwomba msaada.)
aya poise, we ni muumini wa dini gani?Duuuuuuh,
Mkuu, mimi naitwa Poise, siyo upagani
ndo maana nimekwambia upagani haujawahi kumuacha mtu salama nikimaanisha wewe ni mpagani.Sina dini
unacheza tu na akili za watu we huwezi kushawishika dini ya kuabudu kwasababu ya likes, umeamua kutuchangamsha tu.Colietha, sasa nifanyeje maana sina dini na hapa hakuna like hata moja
Unataka kujiunga dini ili iweje sasa?Ndiyo nahitaji likes zenu zaidi ya 10000 ili zinihamasishe .
Ila bila likes 10,000+ Basi sitajiunga aiseeeeeh.
ndo ujue umeandika ujingaMrembo, acha hivyo.
Yaani zitanipa motivation ya kujiunga na dini.
Ujue hadi sasa hakuna like hata moja Kwa hiyo, wana JF hawataki nijiunge dini.