Wana-JF, Msaada

Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,585
2,000
Habari wana JF.

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu.

Issue Iko hivi , binafsi sina dini yoyote hapa duniani.

Sasa naomba msaada.

Naomba Kama mnataka niingie kwenye dini-

Like huu uzi

Na endapo idadi ya likes zitafika 10,000+ katika huu uzi basi nitajiunga katika dini.

Kwa hiyo, ukiisha like huu uzi, unaruhusiwa pia kunipendekezea dini ya kujiunga.

Kama hutoi like usipendekeze dini ya kujiunga.

Asante sana naamini, mtanipatia likes zaidi ya 10, 000+ ili hatimaye nijiunge na dini mtakayo nipendekezea.

Ukarimu wenu jamani ili nijiunge dini.

Chanzo:
.Poise. (Mimi mwenyewe mwomba msaada.)
 

Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,585
2,000
Hivi likes huwa zinaongeza nini kwenye maisha ya kila siku? Una shughuli

Mrembo, acha hivyo.

Yaani zitanipa motivation ya kujiunga na dini.

Ujue hadi sasa hakuna like hata moja Kwa hiyo, wana JF hawataki nijiunge dini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom