Naombeni msaada namna ya kureset password kwenye profile ya kuombea chuo

G

Guy Isaac

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
30
Points
95
G

Guy Isaac

Member
Joined Aug 10, 2019
30 95
Habari zenu wana JF, ningeomba msaada juu ya hili swala kwa wataalam, mimi nimeapply chuo cha UDOM mwaka huu kupitia internet cafe, cha kushangaza jana nimejaribu ku-sign in naambiwa wrong password nikajaribu ku-reset password kwenye gmail niliyoitumia as username zaidi ya Mara tano lakini sipati majibu yeyote ya kupata new password, sasa nimekuja kugundua kwamba ile email niliyotumia haiko activated hivyo nimeshindwa kupata password mpya .

wakubwa naomba msaada wenu nifanye nini nipate hizo password kwasababu bila kupata hizo siwezi jua Kama nimechaguliwa kujiunga na chuo au Laa,mimi Sina uzoefu na haya maswala na sijui hata cha kufanya .

Nimeamua kuandika uzi huu kwenu najua humu kuna wabobezi wa haya mambo, naheshimu mawazo ya kila mtu lkn pia am very sorry kwa disturbance
 
B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
4,767
Points
2,000
B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
4,767 2,000
Nenda jukwaa la science na technology ukaandike huu uzi kule mkuu wako wengi wajuzi kule.
Ila kwa "huduma ya kwanza" tu, e mail inapoleta shida kufunguka lazima watakuuliza "have you forgotten your password?" Click hapo kisha endelea na maelekezo/maswali utakayokuwa unapewa.
 
nkumbison

nkumbison

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Messages
1,033
Points
2,000
nkumbison

nkumbison

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2013
1,033 2,000
Habar zenu wana jf, ningeomba msaada juu ya hili swala kwa wataalam, mm nimeapply chuo cha udom mwaka huu kupitia internet cafe, cha kushangaza jana nimejaribu ku-sign in naambiwa wrong password nikajaribu ku-reset password kwenye gmail niliyoitumia as username zaidi ya Mara tano lkn sipati majibu yeyote ya kupata new password, sasa nimekuja kugundua kwamba ile email niliyotumia haiko activated hvyo nimeshindwa kupata password mpya ,wakubwa naomba msaada wenu nifanye nini nipate hizo password Coz bila kupata hzo siwezi jua Kama nimechaguliwa kujiunga na chuo au Laa,mm Sina uzoefu na haya maswala na sijui hata cha kufnya ndo nimeamua kuandika uzi huu kwenu najua humu kuna wabobezi wa haya mambo, naheshimu mawazo ya kila mtu lkn pia am very sorry kwa disturbance
Kwanza pole kwakujitungia E-Mail HEWA! Jaribu kufungua account ya email kisha jaribu kulitumia hilo jina la email hewa yako kama ndio jina la email halali utakayoifungua.

Ikishindikana wasiliana na kwa namba za walioitengeneza hiyo website watakusaidia.

Zaidi anzisha uzi kama huu jukwaa la mambo ya IT utapata msaada zaidi.
 
G

Guy Isaac

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
30
Points
95
G

Guy Isaac

Member
Joined Aug 10, 2019
30 95
Kwanza pole kwakujitungia E-Mail HEWA! Jaribu kufungua account ya email kisha jaribu kulitumia hilo jina la email hewa yako kama ndio jina la email halali utakayoifungua.

Ikishindikana wasiliana na kwa namba za walioitengeneza hiyo website watakusaidia.

Zaidi anzisha uzi kama huu jukwaa la mambo ya IT utapata msaada zaidi.
Nashkuru kwa ushauri wako
 
G

Guy Isaac

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
30
Points
95
G

Guy Isaac

Member
Joined Aug 10, 2019
30 95
Nenda jukwaa la science na technology ukaandike huu uzi kule mkuu wako wengi wajuzi kule.
Ila kwa "huduma ya kwanza" tu, e mail inapoleta shida kufunguka lazima watakuuliza "have you forgotten your password?" Click hapo kisha endelea na maelekezo/maswali utakayokuwa unapewa.
Nashukuru pia
 
Forum statistics

Threads 1,326,734
Members 509,585
Posts 32,232,910
Top