Wana jf, hivi wazo la Miwatamu liliishia wapi?

Rahajipe

Senior Member
Oct 29, 2012
165
0
Jamani wana jf hapana shaka mu wazima sana!
Nakumbuka kama miezi miwili au mitatu iliyopita huyu mwana jf mwenzetu aliwahi kuleta wazo la members kuweza kukutana walau hata mara moja kwa mwaka, sasa binafsi hilo wazo sijui liliishia wapi!
Je, modes mnaweza kutupatia mrejesho ili tuone kama tunaweza kulifanyia kazi kutokana na wazo hilo wakati lilipowasilishwa wengi wetu tulilipokea kwa moyo mmoja.

Modes tafadhali kama inawezekana nanyi mtoe mchango wenu katika hili.

Nawasilisha.
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,325
2,000

mkuu....wewe ni mgeni sana hapa Kapernaum eeh......mbona watu tunakula bata kila kukicha....kwani wewe upo wapi.....pia jaribu kupitiapitia chit chat uone mabooking na mavidate ya Tanga.....vipi bana....
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
60,628
2,000
mkuu....wewe ni mgeni sana hapa Kapernaum eeh......mbona watu tunakula bata kila kukicha....kwani wewe upo wapi.....pia jaribu kupitiapitia chit chat uone mabooking na mavidate ya Tanga.....vipi bana....

mueleze huyo bhanaa...halafu nataka nikae na wewe siti moja, mtu chake atakua hana chake siku hiyo maana Tanga ndio kwetu lol....
 
Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,325
0
mtaishia kutiana mimba tu,endeleeni na ma booking yenu,hivi huwa mnakumbuka kubeba zana au mnapuyanga kama babu Mtambuzi@
 
Last edited by a moderator:

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
mtaishia kutiana mimba tu,endeleeni na ma booking yenu,hivi huwa mnakumbuka kubeba zana au mnapuyanga kama babu Mtambuzi@

Ha ha ha ha haaaaaa ... Mzee mwenzangu Bishanga, mambo gani haya sasa kuvunjiana heshima kwa hawa vibinti........LOL
 
Last edited by a moderator:

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
49,628
2,000
Jamani wana jf hapana shaka mu wazima sana!
Nakumbuka kama miezi miwili au mitatu iliyopita huyu mwana jf mwenzetu aliwahi kuleta wazo la members kuweza kukutana walau hata mara moja kwa mwaka, sasa binafsi hilo wazo sijui liliishia wapi!
Je, modes mnaweza kutupatia mrejesho ili tuone kama tunaweza kulifanyia kazi kutokana na wazo hilo wakati lilipowasilishwa wengi wetu tulilipokea kwa moyo mmoja.

Modes tafadhali kama inawezekana nanyi mtoe mchango wenu katika hili.

Nawasili
Kuwa mratibu wa hili jambo
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,211
2,000
Jamani wana jf hapana shaka mu wazima sana!
Nakumbuka kama miezi miwili au mitatu iliyopita huyu mwana jf mwenzetu aliwahi kuleta wazo la members kuweza kukutana walau hata mara moja kwa mwaka, sasa binafsi hilo wazo sijui liliishia wapi!
Je, modes mnaweza kutupatia mrejesho ili tuone kama tunaweza kulifanyia kazi kutokana na wazo hilo wakati lilipowasilishwa wengi wetu tulilipokea kwa moyo mmoja.
Modes tafadhali kama inawezekana nanyi mtoe mchango wenu katika hili.
Nawasilisha.
Dadaangu Rahajipe
Naamini ni mzima.
Ukisubiria "MODES" wafanye organize ya suala hili utakaa sana!
Hao unaowaita 'Modes majukumu yao yanaishia majukwaani, na masuala ya uraiani (kama mikusanyiko) hawana nguvu wala sauti nayo, unless kama mtawaalika kama members wa kawaida Jamvi.

Kwa kukusaidia, wasiliana kwa PM na member anaeitwa Preta, au kama alivyokueleza, nenda kule Chit-chat utakutana na thread inayosema..."Werawera....." 

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,528
2,000
mkuu....wewe ni mgeni sana hapa Kapernaum eeh......mbona watu tunakula bata kila kukicha....kwani wewe upo wapi.....pia jaribu kupitiapitia chit chat uone mabooking na mavidate ya Tanga.....vipi bana....

Preta weekend hii wapi?
Niko freeeeeeeeeee fraideiiiiiiiii hafi mani deiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom