Hii inabidi umwone Mkuu Sauti ya Umeme FMES au mpwa Yo Yo lazima atakuwa nazo lakini nimeskia kama anamsaidia mama kulea mtoto kwa hiyo yupo busy jamani.
Mkuu tema mate juu, kama humjui NN ni nani na kama huna contacts zake si ubaki kimyaa kuliko kuongea hivyo we ungepita tu bila na wewe kucoment chochote. Kwa kweli hata mimi nahitaji contacts zake nimjulie khali.
Your brother alafu unaomba number yake ya simu? Sidhani kama litakuwa jambo la busara kwa mtu kutoa number ya simu ya mtu mwingine bila idhini yake. ngoja tumuulize NN mwenye anasemaje kuhusiana na hilo swala.
Your brother alafu unaomba number yake ya simu? Sidhani kama litakuwa jambo la busara kwa mtu kutoa number ya simu ya mtu mwingine bila idhini yake. ngoja tumuulize NN mwenye anasemaje kuhusiana na hilo swala.
Wakati narudi toka officen nimepishna nae amekaa kibarazani kwake anamnywesha mtoto maziwa.nika muuliza kulikoni tena na mtoto? akajibu WOS amemkibia akamuashia mtoto.NN yupo fit sana kwa kulea.
Kwani kupewa hiyo number kwa kupitia PM ndio kunaondoa umuhimu wa kuheshimu privacy ya watu? Wewe utafurahia members hapa wakianza kutoa number au email yako kwa mtu yoyote atakayeiulizia?
Hata kama hiyo namba angeiomba Bwana Yesu au Mtume Mohamed ningempa jibu hilo hilo manake ninavyoelewa hapa JF tunasaidiana kwa kupeana mbinu mbali mbali.. Maybe muomba namba hakuwa na wazo kama nililompatia, huoni kwamba nimeshasaidia?
Anyway, I Love you too as my Brother🙂.. Ubarikiwe sana ila samahani kama kwa jibu langu nitakuwa nimekukwaza Mkuu.