Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 366
... ukweli ni kwamba kuanzia tarehe 22/2/09 ulikuwa ndio mwisho wangu wa kujihusisha na kuchangia mijadala ya siasa hapa JF, baada ya miaka mingi hapa nilifikia uamuzi kwamba nimefika mwisho.
...nipo kila ninapokuwa na muda kwa pembeni ... na nikihitajika sipo mbali sana.
Sasa, ukipotea kwa kweli wananchi wanasafa, hawajui wafanyeje, lakini hatuwezi kuwa selfish, lazima tukufikirie na wewe pia, ili upate kupumzika. Kwa kweli ni kitendawili, maana mwenyewe umeona wanavyolia, wanakuhitaji shujaa wao mkuu, tunaogopa kuishia kuchukua mashujaa wa Wamarekani Wa Kiafrika, kina Colin Ferguson.
Lakini maadam umesema utakuwepo muda wa pembeni, na hata usipokuwepo umesema ukihitajika hauko mbali basi nadhani Kombolela letu halitaharibika, tukishindwa kupata ulikojificha tutapiga yowe "FMES, tokea, tokea, umejificha wapi, njoo tuanze round nyingine, watoto wamechoka kukutafuta" halafu, basi, utatokea tutafurahi, tutakusoma, kisha tutakuachia "kopo" wewe mwenyewe tutakwambia "butua" ili ukajifiche tena, upumzike.
Kwa sasa Wananchi wame "safa" vya kutosha, wamelia, na hivyo tunashukuru umejitokeza kwa round nyingine.
Mzee wa umeme --- kila nilipohitaji msaada fulani fulani kuhusu mambo fulani fulani wewe ndio umekuwa namba moja katika kuhakikisha mambo yanakwenda salama na kiulaini kabisa bila matatizo yoyote ---- naamini utaendelea kuwepo au nikuchech pm nikualike sehemu fulani hivi ila tunatumia majina halisi na bahati nzuri wabunge wengi wa nchi jirani ndio wanachachiaji wakubwa
kwenye TV na redio ilikuwaje?
Hongera kwa kuukwaa ukurugenzi wa kampeni za Lau masha
Mijadala kuhusu Mama Kilango itakuwa huru sasa, I cant wait! Au utarudi kuendelea kumlinda watu wakimshushia makombora?
Well, FMES, kwa kweli una mzigo mkubwa hapa, maana kila unapotuma barua za kustaafu au unapopotea wananchi huwa wanazipokea kwa vilio na miito ya kukutaka urudi, wakikutafuta kama mchezaji nyota wa Kombolela ambae mkishindwa kumpata alikojificha inabidi mpaka mumsaidie yule ambae "anasafa."
Sasa, ukipotea kwa kweli wananchi wanasafa, hawajui wafanyeje, lakini hatuwezi kuwa selfish, lazima tukufikirie na wewe pia, ili upate kupumzika. Kwa kweli ni kitendawili, maana mwenyewe umeona wanavyolia, wanakuhitaji shujaa wao mkuu, tunaogopa kuishia kuchukua mashujaa wa Wamarekani Wa Kiafrika, kina Colin Ferguson.
Lakini maadam umesema utakuwepo muda wa pembeni, na hata usipokuwepo umesema ukihitajika hauko mbali basi nadhani Kombolela letu halitaharibika, tukishindwa kupata ulikojificha tutapiga yowe "FMES, tokea, tokea, umejificha wapi, njoo tuanze round nyingine, watoto wamechoka kukutafuta" halafu, basi, utatokea tutafurahi, tutakusoma, kisha tutakuachia "kopo" wewe mwenyewe tutakwambia "butua" ili ukajifiche tena, upumzike.
Kwa sasa Wananchi wame "safa" vya kutosha, wamelia, na hivyo tunashukuru umejitokeza kwa round nyingine.
Mkuu umeamua kuweka ubao wa funguo(keyboard) kando.....sasa yale mahabari ya kuvunjika ndo itakuwa vipi?!? Kama utakuwa unatuletea pindi yanapojiri, then powa...Maana busara zako nje ya ubishi wa hapa bado zina manufaa.....nina imani bado unapatikana kwenye frikwensi (#s) zilezile au sio mkuu??
Mkuu no need ya kujieleza sana....mapumziko mema na safari njema.....mie bado niko JF.....- Kuhusu TV mlango uko wazi kwa mshikaji wangu Joe, anytime ni uamuzi wangu tu, Radio pia mshikaji wangu mmoja ambaye nimemsaidia sana kununua mitambo na amefungua Radio Mbeya mjini hivi karibuni, huko nako mlango uko wazi wakati wowote ninaotaka.
- Lau Masha, ni rafiki yangu kama marafiki wengine wengi nilionao hapa JF, kwenye uchaguzi wa ubunge haniihitaji anajitosheleza sana, ila kuna wabunge wangu wapiganaji ndio ninaojaribu kuwasaidia as much as I can, next week end nitakuwa Iowa State kumsaidia mmojawapo, na baada ya hapo nitaruka naye kwenda Tokyo ambako tutaachana huko na nitakwenda London kutafuta hela zaidi kusaidia wengine pia ambao mafisadi wanajaribu kuwapiga vita wasirudi bungeni, dalili ni mbaya sana kwa baadhi yao lakini tutajaribu as much as we can kuwasaidia ili warudi bungeni.
- Unajua mke wangu ni director wa NGO kubwa sana inayowasomesha watoto wasio una uwezo, kati ya Nyamuso, na Mugumu Musoma, na Arusha, ni kwa muda mrefu sana amekua akinitaka nijiunge naye lakini nikawa bize sana na sehemu zingine hasa hapa JF, lakini sasa nimeamua kujiunga naye kwa 100%, kwa hiyo hii nayo itanipa platform kubwa zaidi ku-reach out wananchi wanyonge na utawala wetu wa taifa pia.
Kwa hiyo ndugu yangu Yo-Yo, heshima mbele usikonde sana na Masha maana ni mshikaji kama wewe, halafu unajua ni majuzi tu mshikaji wangu mwingine wa karibu sana Sister Pendo, alifariki dunia bado mpaka leo inanipa taabu sana mkuu kuikubali maana unajua sometimes kuna washikaji wavuka level ya ushikaji na kuwa kama ndugu, kwa hiyo usiwe na wasi wasi mkuu tupo pamoja sana.
Respect!
Nimeitumikia JF kwa hali na mali, na I gave everything as far as siasa is concerned, unajua kwa mwanasiasa kama mimi kila baada ya muda fulani ni lazima kufanya self analysis, na kujichambua kwa makini which nimekua nikifanya all the times na this time nikaamua kwamba wakati umefika wa kwueka kalamu chini, nia na madhumuni ni kutafuta nafasi kubwa zaidi ya kusikika kwa taifa nina options nyingi ambazo ninajaribu ku-figure out ipi itakidhi matakwa yangu, lakini ya kuchangia siasa kwenye hii forums, kwa sasa ninaamini kwamba nimefika mwisho.
Mkuu no need ya kujieleza sana....mapumziko mema na safari njema.....mie bado niko JF.....
Originally Posted by Yo Yo
kwenye TV na redio ilikuwaje?
Hongera kwa kuukwaa ukurugenzi wa kampeni za Lau masha
Kila la heri Mkuu katika mipango yako.
Ngoja na mimi nianze kuaga.......- Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako, lakini katika siasa unapouliza swali ina maana moja ni kwamba unauliza kwa niaba ya wengi kwa hiyo jibu ni lazima liwe kwa niaba ya wengi na unapojibu ni lazima kujibu pia kwa niaba ya maswali mengine mengi yanayoweza kuzuka in the process ya kujibu swali la msingi.
Ninakutakia mafanikio mema mkuu na kulisaidia taifa letu katika kubaki kwako JF.
Respect!
Ngoja na mimi nianze kuaga.......
Ngoja na mimi nianze kuaga.......
- Kuhusu TV mlango uko wazi kwa mshikaji wangu Joe, anytime ni uamuzi wangu tu, Radio pia mshikaji wangu mmoja ambaye nimemsaidia sana kununua mitambo na amefungua Radio Mbeya mjini hivi karibuni, huko nako mlango uko wazi wakati wowote ninaotaka.
- Lau Masha, ni rafiki yangu kama marafiki wengine wengi nilionao hapa JF, kwenye uchaguzi wa ubunge haniihitaji anajitosheleza sana, ila kuna wabunge wangu wapiganaji ndio ninaojaribu kuwasaidia as much as I can, next week end nitakuwa Iowa State kumsaidia mmojawapo, na baada ya hapo nitaruka naye kwenda Tokyo ambako tutaachana huko na nitakwenda London kutafuta hela zaidi kusaidia wengine pia ambao mafisadi wanajaribu kuwapiga vita wasirudi bungeni, dalili ni mbaya sana kwa baadhi yao lakini tutajaribu as much as we can kuwasaidia ili warudi bungeni.
- Unajua mke wangu ni director wa NGO kubwa sana inayowasomesha watoto wasio una uwezo, kati ya Nyamuso, na Mugumu Musoma, na Arusha, ni kwa muda mrefu sana amekua akinitaka nijiunge naye lakini nikawa bize sana na sehemu zingine hasa hapa JF, lakini sasa nimeamua kujiunga naye kwa 100%, kwa hiyo hii nayo itanipa platform kubwa zaidi ku-reach out wananchi wanyonge na utawala wetu wa taifa pia.
Kwa hiyo ndugu yangu Yo-Yo, heshima mbele usikonde sana na Masha maana ni mshikaji kama wewe, halafu unajua ni majuzi tu mshikaji wangu mwingine wa karibu sana Sister Pendo, alifariki dunia bado mpaka leo inanipa taabu sana mkuu kuikubali maana unajua sometimes kuna washikaji wavuka level ya ushikaji na kuwa kama ndugu, kwa hiyo usiwe na wasi wasi mkuu tupo pamoja sana.
Respect!
ndio mkuu......najiandaa na 2010.....Hee mpwa na wewe unaondoka?????.....Lol...Tobaaaa
ndio mkuu......najiandaa na 2010.....