Wewe kama wewe umefanya jitihada gani kuboresha?Well, sijui kama wanajiona keki kama unavyodai. Ila ukweli ni kwamba Bongo kunachosha sana. Kuna uzembe wa hali ya juu katika kila nyanja. Na hiyo si kwa sababu ya kukosa fedha. Ila mawazo ni finyu kupindukia. Mimi nimekaa ughaibuni kwa muongo zaidi ya mmoja. Sasa nipo hapa Bongo. NI michosho tupu. Huo ni ukweli; na sio hisia.
Hii si watu walio ughaibuni peke yao.
Hata sisi hapa bongo tuna kasumba zilezile. Fikiria mtu anakwenda dukani kununua mahitaji yake akikuta kwa mfano dawa ya meno iliyotengenezwa Tanzania anaiponda na atahitaji colgate ya kenya.
Akikuta sabuni ya kuogea au kufulia atahitaji kununua ya kenya lakini iliyotengenezwa Tanga au Mwanza anaona si mali.
Unaweza kujiuliza kwa nini tuna pamba nyingi, mawese kibao, alizeti hata usiseme, lakini watu bado wanakula mafuta ya kupikia toka Asia?[/B]
Hii si watu walio ughaibuni peke yao.
Hata sisi hapa bongo tuna kasumba zilezile. Fikiria mtu anakwenda dukani kununua mahitaji yake akikuta kwa mfano dawa ya meno iliyotengenezwa Tanzania anaiponda na atahitaji colgate ya kenya.
Akikuta sabuni ya kuogea au kufulia atahitaji kununua ya kenya lakini iliyotengenezwa Tanga au Mwanza anaona si mali.
Unaweza kujiuliza kwa nini tuna pamba nyingi, mawese kibao, alizeti hata usiseme, lakini watu bado wanakula mafuta ya kupikia toka Asia?
....hii ni result ya poor marketing
yes hata hivyo "ndivyo tulivyo" hata ikifika masuala ya internet yetu itadhalauliwa tu! Ndio sababu ni rahsi hata kuwadharau mafisadi wakati wanatuibiaBravo Mchukia fisadi,
Kuna watu wanamentality za kipumbavu!..chao hakina thamani ila cha jirani.
Nini?....hii ni result ya poor marketing
Nzo kuna ukweli kidogo katika post yako kuliko unavyofikiri.Yes,
Poor marketing and most of the time just poor standards/quality. TBS.........
Let us separate being patriotic for the sake of being patriotic..........
If its crap its crap, if its good its good........
kuna watu usiombe wakufahamu,watapiga filimbi weeeeeeeeeMwafrika wa kike si umesharudi usa njoo tuendeleze ligi tafadhali -- nitakupigia baadaye kukusisitizia
Saidi Yakubu?