Wana jf dsm tunakutana lini

mimi bana nikihakikishiwa kuwa ndom za kutosha zitakuwepo (i need at least a carton) nitakuja,short of that hamtoniona.
 
Hivi wa Dar mtaanza lini mchakato wenyewe? Kwani si kuna haja ya kukutana liiive before safari mpange mipango yenu?
 
Smile watu wa Dar ambao tunaenda Tanga tumeshajioganaizi.
Tumepatikana 6 tu.
Na hiyo safari ipo labda wewe tu ndo hukupiemiwa.

Ok ok Ngoja nije Pm.

Umewaweka alama utakao wachukua mzukuleni,kupalilia mashamba yako..
 
Last edited by a moderator:
Mpwa uje na member wapya hao akina Smile ijumaa vp unaenda kwenye send off?
Hapana ijumaa nipo free. Smile uko tayari kuongozana na mimi ukutane na wakongwe wa JF? Wenzio huwa tunakutana almost kila weekend tunajinywea biya zetu kwa raha zetu.....

Hakuna longolongo wala maneno mengi
 
Last edited by a moderator:
Smile watu wa Dar ambao tunaenda Tanga tumeshajioganaizi.
Tumepatikana 6 tu.
Na hiyo safari ipo labda wewe tu ndo hukupiemiwa.

Ok ok Ngoja nije Pm.

Tatizo hizo tarehe ni mbana kwetu sisi. I really wanted to go lakini sitoweza kwani terehe 24 natakiwa kurudi kibaruani
 
Tatizo hizo tarehe ni mbana kwetu sisi. I really wanted to go lakini sitoweza kwani terehe 24 natakiwa kurudi kibaruani
chardams, sikia kuondoka ni ijumaa tarehe 28 desemba na kurudi ni Jumapili tar 30 desemba.
Usiogope.
 
Last edited by a moderator:
je tunaruhusiwa kuja na watoto wetu ilimradi tu msiwatongoze, maana baadhi ya wanaume humu jf hawashikiki wakiona k imekatiza.
 
je tunaruhusiwa kuja na watoto wetu ilimradi tu msiwatongoze, maana baadhi ya wanaume humu jf hawashikiki wakiona k imekatiza.

Njoo nao bana kupata mashemeji na wakwe ni jambo jema sana
 
Asnam thibitisha maneno yako!
je tunaruhusiwa kuja na watoto wetu ilimradi tu msiwatongoze, maana baadhi ya wanaume humu jf hawashikiki wakiona k imekatiza.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom