The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Makao Makuu TI
Posho Bado hatujazifuta tutawalipa tu nyie watu wa Arachuga!! Muje Mujini bana
Mwaka jana tulipoenda kuwatembelea JF wa Arachuga hili suala la posho lilikuwa bado halijaibuliwa mimi waje tu huku Dar tutawalipia posho zao mapema kabla sheria haijapitishwa, ila wazeiya Paka Jimmy, Preta, Lily Flower, Mzee wa Rula, Wiselady, Freetown na wengineo mkuje Dar Wing (Headquarters) bana bado tunaendelea kuwasubiriahahahaha na mtiti wa wanaapollo ni soo hauzimiki!!
Ila hommie waje bana! Mzee wa Rula Ujumbe ulifikisha?
Hivi MEMKWA (Mpango Endelevu Mno Kwa Waliokosa Arusha) bado inaendelea??Duh.... kamanda, mie simooooooo
uko mbali sana, ila tumeondoa gharama zote za matangazo ili tufanane na chademaHivi MEMKWA (Mpango Endelevu Mno Kwa Waliokosa Arusha) bado inaendelea??
Tutakuja mkuu, itakuwa full shwangwe.njoeni dar siku moja ninyi viumbe....!
mbona sisi tulikuja arachuga?
Tutakuja mkuu, itakuwa full shwangwe.
Hahaha!!!!uko mbali sana, ila tumeondoa gharama zote za matangazo ili tufanane na chadema
tumeacha madeni tu!!
Niambie hizo Per Diem utatoa vote ipi ili nipige kampeni ya kufa mtu!Mwaka jana tulipoenda kuwatembelea JF wa Arachuga hili suala la posho lilikuwa bado halijaibuliwa mimi waje tu huku Dar tutawalipia posho zao mapema kabla sheria haijapitishwa, ila wazeiya Paka Jimmy, Preta, Lily Flower, Mzee wa Rula, Wiselady, Freetown na wengineo mkuje Dar Wing (Headquarters) bana bado tunaendelea kuwasubiria
Ngoja nikae kikao na Teamo tuone Per Diem kiasi gani zitawatosha kwa ajili ya Malazi na ChakulaNiambie hizo Per Diem utatoa vote ipi ili nipige kampeni ya kufa mtu!
usinifanye nichekelee kumbe danganya toto. Kesho asbh nipo stand nakuja kukupokea.Ucjal mpendwa. Nafanya mpango nihamie huko tuwe wawili, hapa npo napanga nguo kwenye mabegi...lol
Mimi ninapenda sana desturi ya wanajf kukutana. Hata hapa Dar tulikutana na mimi nikawepo. Nikakuta baadahi ya watu wanataja majina yao ya kwenye Jf. Mimi naitwa x ktk jf naitwa Y. Mimi nikajiuliza, kwanini basi msitumie majina yenu kamili? Wakaniambia, we just feel good kutumia majina ya JF. Any way it was not clear to me.
aisee kuna bar naskia inaitwa ****** bar..
Nashukuru kwa kunijali. Nashukuru kwa kuniamini kwenye jambo kubwa na nyeti kama hilo. Next wk end tuko pamojawallah nafasi ya mweka hazina umeipata......mwenye nafasi hiyo anazengua sana siku hizi.......mambo yake vululuvululu....kikao kijacho umepita......BTW nimefurahi kukuona tena