ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
yaani we mkuu wa chuo bure kabisahivi ina maana wana jf mnajuana kwa sura!
yaani we mkuu wa chuo bure kabisahivi ina maana wana jf mnajuana kwa sura!
jf makao makao makuu wanataarifa!Watu mnakutana kwa Mwamvuli wa JF wakati wenye-JF wenyewe hawajui.Ok, mnaweza kudai JF ni ya wote ndio kwani nanyi ni member, but hii sio forum ambayo ipoipo tu, ina taratibu zake.Hata kama hamzungumzii forum, but identity yenu hapo ni JF-members, Ni angalizo tu wakuu, otherwise Mods wanaweza wakanirekebisha.Wabillah Tawfiq
Tumekuwa na utaratibu wa wana JF tunaoishi Arusha kukutana kila mwezi na kesho tarehe 2, July 2011, kutakuwa na kikao cha wana JF waishio Arusha kuanzia saa 11:00 jioni pale Soweto Club, maeneo ya Soweto. Kiingilio hakuna. Wana JF wote wanakaribishwa. Tafadhali mfahamishe na mwenzio.
Hilo ndo lilikua jibu kaka mkubwajf makao makao makuu wanataarifa!
Tunatambulishana kwa ID zetu za majukwaani, na hakuna mtu anayefuatilia majina ya watu labda uwe umetumwa utajua na mwenyewe na nani?Huko mnakokutana mnaitana majina yapi?real names zenu au haya ya jf?
halafu wewe nakudai.....hivi kwa nini hupendi kulipa madeni ya watu?nawaonea wivu sana aisee.... ngona na sie wa Mwanza tuanzishe
i promise, this time ntakulipa... tena before fridayhalafu wewe nakudai.....hivi kwa nini hupendi kulipa madeni ya watu?
aisee mpwapwa hawapo. Sijui nije kwenu.nawaonea wivu sana aisee.... ngona na sie wa Mwanza tuanzishe
Du,halafu wewe nakudai.....hivi kwa nini hupendi kulipa madeni ya watu?
Wana jf mpwapwa mpoo?
Khaa! Ina maana mpwapwa nipo mwenyewe.