Wana JF Arusha

Du,
Huyu nae UKIMKOPA anakomaa kudai hadi unaweza kuamua kubadilisha njia!
Jamani, si yalikuwa maelewano ya kawaida tu?, kwanini umwone mwenzio kama mkosefu hadi kumganda hivyo?

na wewe.......kwa nini nikutumie telegram ukatae kujibu?........
 
Jamani mm ni mwana AR niwekeni kwenye orodha ila niko nje ya AR ila nitarudi soon. Kama nafasi ya mweka hazina iko wazi naiomba. Preta, PJ, lily flower nipigieni kampeni.
 
wallah nafasi ya mweka hazina umeipata......mwenye nafasi hiyo anazengua sana siku hizi.......mambo yake vululuvululu....kikao kijacho umepita......BTW nimefurahi kukuona tena
 
Mwenyewe nipo hapa ndani ya jiji la r..chuga,ila nachelea kusema,sikuweza kufika kwani sikuwa na info!?
Next tym...
 
Du,
Huyu nae UKIMKOPA anakomaa kudai hadi unaweza kuamua kubadilisha njia!
Jamani, si yalikuwa maelewano ya kawaida tu?, kwanini umwone mwenzio kama mkosefu hadi kumganda hivyo?
Unajua anadaiwa nini Preta? Shauri yako mimi sikuamulii ngumi zikitokea maana nasikia MTM ni buansa sijui utatokaje?
 
njoeni dar siku moja ninyi viumbe....!

mbona sisi tulikuja arachuga?
 
Du,
Huyu nae UKIMKOPA anakomaa kudai hadi unaweza kuamua kubadilisha njia!
Jamani, si yalikuwa maelewano ya kawaida tu?, kwanini umwone mwenzio kama mkosefu hadi kumganda hivyo?
Duh.... kamanda, mie simooooooo
 
Back
Top Bottom