Wana Jamiiforums tupo 195,958 mpaka sasa

Wana Jamiiforums tupo 195,958 mpaka sasa

Status
Not open for further replies.

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
19,038
Reaction score
31,887
Jamii yetu hapa inazidi kukua sana na mtandao huu unazidi kuwa kivutio kwa watu wengi, ndani na hata nje ya nchi.

Wakuu kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kutufanya tuwe tofauti.

Ikiwa ni pamoja na mtu kuwa na posts nyingi zaidi, likes given nyingi zaidi au likes received nyingi zaidi kushinda member wengine.

Zoezi la kuangalia ni nani anayeongoza kwa posts nyingi zaidi limekuwa ngumu kidogo ila naamini hapa Nyani Ngabu atakuwa anaongoza, ana posts 44,244.(hadi wakati naandika hapa)

Kwa hiyo kati ya sisi 195958 huyu ni namba 1 kwa kuwa na idadi ya posts nyingi zaidi kushinda member wote.

Kwenye likes nimeshindwa kabisa ku-identify.

Kwenye Reputation anayetuongoza ni Excel mpaka sasa, yeye ana
Rep Power : 49,702,034 .

Ni mengi sana yanayoweza kututofautisha ila hayo ni miongoni..in terms of digits
 
Nyani Ngabu kumbe ndio anakimbiza Tanzania nzima (JF ndio TZ one).

Hongera mkuu!!
 
Last edited by a moderator:
Hii post hata sijaelewa mantiki yake, av wasted my time to read n comment
 
192958 + 1 hujani jumlisha na mimi.
 
kuna mijitu hapa yana Id karibia kumi na yote anatumia.
 
  • Nyani Ngabu alikuwa akiongoza na anaendelea kuongoza, angalia hii image ya mwaka jana inayopatikana hapa: JF Top Posters Of All Time!
eptw5U
jamii yetu hapa inazidi kukua sana
na mtandao huu unazidi kuwa kivutio kwa watu wengi, ndani na hata nje ya nchi.

wakuu kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kutufanya tuwe tofauti.
ikiwa ni pamoja na mtu kuwa na posts nyingi zaidi, likes given nyingi zaidi au likes received nyingi zaidi kushinda member wengine.

Zoezi la kuangalia ni nani anayeongoza kwa posts nyingi zaidi limekuwa ngumu kidogo ila
naamini hapa Nyani Ngabu atakuwa anaongoza, ana posts 44,244.(hadi wakati naandika hapa)

kwa hiyo kati ya sisi 195958 huyu ni namba 1 kwa kuwa na idadi ya posts nyingi zaidi kushinda member wote..

kwenye likes nimeshindwa kabisa ku identify.

kwenye Reputation anayetuongoza ni Excel mpaka sasa, yeye ana
Rep Power : 49,702,034 .

Ni mengi sana yanayoweza kututofautisha ila hayo ni miongoni..in terms of digits
 
Hii post hata sijaelewa mantiki yake, av wasted my time to read n comment

jerry ni kipi hujaelewa wakati title iko wazo na maelezo yanaeleweka.
hapa ni uwingi na utofauti..
 
jamii yetu hapa inazidi kukua sana
na mtandao huu unazidi kuwa kivutio kwa watu wengi, ndani na hata nje ya nchi.

wakuu kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kutufanya tuwe tofauti.
ikiwa ni pamoja na mtu kuwa na posts nyingi zaidi, likes given nyingi zaidi au likes received nyingi zaidi kushinda member wengine.

Zoezi la kuangalia ni nani anayeongoza kwa posts nyingi zaidi limekuwa ngumu kidogo ila
naamini hapa Nyani Ngabu atakuwa anaongoza, ana posts 44,244.(hadi wakati naandika hapa)

kwa hiyo kati ya sisi 195958 huyu ni namba 1 kwa kuwa na idadi ya posts nyingi zaidi kushinda member wote..

kwenye likes nimeshindwa kabisa ku identify.

kwenye Reputation anayetuongoza ni Excel mpaka sasa, yeye ana
Rep Power : 49,702,034 .

Ni mengi sana yanayoweza kututofautisha ila hayo ni miongoni..in terms of digits

Hiyo idadi ya wanaJF uliyoitaja ni wale ambao ni registered users. kuna wengine pia ambao hawako registered lakini ni regular vistors wa JF na idadi yao naweza kuikisia kama kufikia nusu ya walle ambao ni registerd users. Nadhani watu laki 3 wanaweza kufika (ambao huwa wanatembelea JF).
 
M nadhan hiyo idad ya wanajf,ni majimbo mawil ya uchaguz,kama wote tungebahatika kuish ndan ya majimbo hayo mawil,bas viongoz wetu wangekuwa makin sana kuchapa kaz,rushwa katika maeneo yetu isingekuwepo,migao ya umeme,tbccm isingekuwa na watazamaji,kama tungekuwa na mbuga tembo wetu wasingeuwawa au kusafirishwa na ndege,unga ambao ungeruhusiwa kuingia katika maeneo yetu ni wa kula tu,polis wangekuwa friend na wananch,waandish wasingeuwawa,hakuna kun'golewa kucha.Na mengne meng yangekuwa yanaenda kwa haki kama inavotakiwa.Nadhan wana jf tunaweza kufanya nnch hii ikawa na viongoz waadilifu
 
Na hapo bila hata alternate IDs zangu zingine ambazo nazo mpaka sasa nishasahau hata idadi yake:becky:.

Aisee ninatisha mpaka najiogopa mwenyewe!

Kweli wewe nyani, yaani unasifiwa na unazidi kujisifia mwenyewe? Sijawahi ona binadamu wakifanya hivi. Teh teh teeh.... Natania kaka, nimeamka na mood ya furaha sana leo. Week end njema!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom