Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,581
Na hapo bila hata alternate IDs zangu zingine ambazo nazo mpaka sasa nishasahau hata idadi yake:becky:.
Aisee ninatisha mpaka najiogopa mwenyewe!
Kumbeeeeeeeee
Na hapo bila hata alternate IDs zangu zingine ambazo nazo mpaka sasa nishasahau hata idadi yake:becky:.
Aisee ninatisha mpaka najiogopa mwenyewe!
Na Mimi mwanachama mpya nipokeeni wenzangu
Safi sanaaaaBrevity is the soul of wit.
Uran wewe ni mkali yaani umeshampita Ecxel kwa Reputation juzijuzi tu basi mnatisha au ni ile Tamthiliya yako ya True Story na moreen babyZoezi la kuangalia ni nani anayeongoza kwa posts nyingi zaidi limekuwa ngumu kidogo ila naamini hapa Nyani Ngabu atakuwa anaongoza, ana posts 44,244.(hadi wakati naandika hapa)
Kwenye Reputation anayetuongoza ni Excel mpaka sasa, yeye ana Rep Power : 49,702,034 .
mwingine ni
Join Date : 21st March 2013
Location : Heaven on earth
Posts : 21,975
Rep Power : 53,133,526
Jamii yetu hapa inazidi kukua sana na mtandao huu unazidi kuwa kivutio kwa watu wengi, ndani na hata nje ya nchi.
Wakuu kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kutufanya tuwe tofauti.
Ikiwa ni pamoja na mtu kuwa na posts nyingi zaidi, likes given nyingi zaidi au likes received nyingi zaidi kushinda member wengine.
Zoezi la kuangalia ni nani anayeongoza kwa posts nyingi zaidi limekuwa ngumu kidogo ila naamini hapa Nyani Ngabu atakuwa anaongoza, ana posts 44,244.(hadi wakati naandika hapa)
Kwa hiyo kati ya sisi 195958 huyu ni namba 1 kwa kuwa na idadi ya posts nyingi zaidi kushinda member wote.
Kwenye likes nimeshindwa kabisa ku-identify.
Kwenye Reputation anayetuongoza ni Excel mpaka sasa, yeye ana Rep Power : 49,702,034 .
Ni mengi sana yanayoweza kututofautisha ila hayo ni miongoni..in terms of digits