Na Simiyu Yetu aka simiyu Matelefoni
Hahahaaa....Paul Makonda naye ni member wa JF?
Last edited by a moderator:
Na Simiyu Yetu aka simiyu Matelefoni
Kwenye hiyo idadi ya wanaJF ukweli upo hivi: 1. Kuna watu wana ID zaidi ya moja. 2. Siyo member wote wako active,kuna idadi kubwa ya wanaJF wamejitoa/hawaonekani, akina Rejao, Radhia Sweety, sakapal black Cat na wengine weeeengi mnaowafahamu.
tena ni verfy user c.c PAULMakondaHahahaaa....Paul Makonda naye ni member wa JF?
Jamii yetu hapa inazidi kukua sana na mtandao huu unazidi kuwa kivutio kwa watu wengi, ndani na hata nje ya nchi.
Wakuu kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kutufanya tuwe tofauti.
Ikiwa ni pamoja na mtu kuwa na posts nyingi zaidi, likes given nyingi zaidi au likes received nyingi zaidi kushinda member wengine.
Zoezi la kuangalia ni nani anayeongoza kwa posts nyingi zaidi limekuwa ngumu kidogo ila naamini hapa Nyani Ngabu atakuwa anaongoza, ana posts 44,244.(hadi wakati naandika hapa)
Kwa hiyo kati ya sisi 195958 huyu ni namba 1 kwa kuwa na idadi ya posts nyingi zaidi kushinda member wote.
Kwenye likes nimeshindwa kabisa ku-identify.
Kwenye Reputation anayetuongoza ni Excel mpaka sasa, yeye ana Rep Power : 49,702,034 .
Ni mengi sana yanayoweza kututofautisha ila hayo ni miongoni..in terms of digits
sasa wewe unamuingilia mleta Mada nakushauri uianzinshe yako uweke kuhusu Member Nyani Ngabu na huyo MMUkitaka kufuata posts zenye subsance Mzee Mwanakijiji anaongoza, tatizo la yani Ngabu 99% ya posts zake ni pumba tupu, wakati Mwanakijiji posts zote zina substance. Mimi ningependelea MM awe regarded mwenye posts nyingi kuiko wote humu JF!
Ukitaka kufuata posts zenye subsance Mzee Mwanakijiji anaongoza, tatizo la yani Ngabu 99% ya posts zake ni pumba tupu, wakati Mwanakijiji posts zote zina substance. Mimi ningependelea MM awe regarded mwenye posts nyingi kuiko wote humu JF!
sasa wewe unamuingilia mleta Mada nakushauri uianzinshe yako uweke kuhusu Member Nyani Ngabu na huyo MM
Kwa kukusaidia Makanyaga ingawa umeingia JF 2007 huwajui vizuri kwani mm ni (tofauti) Opposite
Km ni Uongo Makanyaga naiomba thread yoyote ya MM inayoisifia Serikali ya CCM uiweke hapa au Post yoyote iliyo nje ya Jukwaa la Siasa. Kwa hiyo unapimisha vitu tofauti kufananisha na kitu kimoja halisia
- Nyani Ngabu ni mshiriki wa kila siku humu JF akikosoa na kurekebisha kila fani ya Jukwaa aingiapo na hata thread nyingi anaanzisha pia
[* Mzee Mwanakijiji mara zote huanzisha post za kuipinga Serikali iliyopo Madarakani na CCM na haza post zinazohusu CUF CHADEMA na habari yoyote iliyo mbaya kwa Tanzania
- Pia MM anakosoa akiwa Nje ya Nchi na hakaribii nyumbani au kwenye Mtandao wake
- Tofauti na Nyani Ngabu ingawa anachangia zote kwa ujumla penye kosa au ukweli hajifichi, hata km yupo Nje ya Nchi atachangia yaliyo kweli na akiwepo Nchini huatajua tofauti.
(Ngoma ya Gombesugu na Ngoma ya Nhindo zote ni ngoma kila kabila wanaruka kivyake)
Basi ujue hiyo sifa hanayo Nyani Ngabu yeye yupo Majukwaa yote tofauti na Mzee MwanakijijiKampeni za Kikwete kabla ya uchaguzi mwaka 2005, nani alikuwa anangoza humu JF, kama siyo Mzee Mwanakijiji? Kama alikuja akabadilika baadaye ni uhuru wake. Huoni watu wanabadilisha vyama kutoka CCM kwenda CHADEMA and vice versa? Ndiyo maana ya demokrasia hiyo!
Kampeni za Kikwete kabla ya uchaguzi mwaka 2005, nani alikuwa anangoza humu JF, kama siyo Mzee Mwanakijiji? Kama alikuja akabadilika baadaye ni uhuru wake. Huoni watu wanabadilisha vyama kutoka CCM kwenda CHADEMA and vice versa? Ndiyo maana ya demokrasia hiyo!
Kulikuwa na JF mwaka 2005?