Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,152
- 7,423
Kwenye hiyo idadi ya wanaJF ukweli upo hivi: 1. Kuna watu wana ID zaidi ya moja. 2. Siyo member wote wako active,kuna idadi kubwa ya wanaJF wamejitoa/hawaonekani, akina Rejao, Radhia Sweety, sakapal black Cat na wengine weeeengi mnaowafahamu.
Radhia sweet ni dada'ke Faizafoxy kwahiyo ni mambo ya ID nyingi kazini
Last edited by a moderator: