Wana JamiiForums nawapenda sana

Wana JamiiForums nawapenda sana

nikipindi kirefu sana sionekeni humu jamvini lakn yote hiyo ilisababishwa na mimi kumkashifu mkulu wa Kaya ndio sababu iliyonipeleka kifungoni.

nilishidwa hata kuwapa salam za x-mas na mwaka mpya wana-mmu na wana-jf kwa ujumla.
kibanafsi nawependa wote na pamoja kwamba nilichelewa kutoa salam zangu lakn naomba kuwatakia kila la kheri katika mwaka huu mpya 2015, sitajisikia vzr kama nikiacha kuwapa salamu zangu za dhati shemeji yangu Khantwe kimpenzi changu loveissweet pamoja na wakina mama wote hapa jf waliobandilisha mtazamo wangu kutokana na michango yao hapa jf, kama miss chagga miss neddy Heaven Sent Heaven desert Mama Joe Tumboo lara1 mwallu na wakina mama wote kwa kweli siwezi nikawataja wote lakn siyo kwamba siwajui nawajua sana kama mamaafacebook n.k

sitakuwa mwingi wa rehema kama nitaacha kuwashukuru wanaharakati wenzangu kama utafiti Tyta Tee Bag @M011 watu8 Utotole Tized Ntunzu chakii
MziziMkavu kabanga big_in UHURU JR mshana jr KikulachoChako Invisible Mhariri n.k
Ndio uwe na Heshima usipende kumtukana mkuu wa kaya wewe utaona Raha mtu akimtukana Baba yako mzazi? Mkuu Shy land ? jaribu kuwa na heshima kwa kiongozi wa nchi jerekebishe kabisa pole sana kwa kupelekwa Lupango.
 
Last edited by a moderator:
Ndio uwe na Heshima usipende kumtukana mkuu wa kaya wewe utaona Raha mtu akimtukana Baba yako mzazi? Mkuu Shy land ? jaribu kuwa na heshima kwa kiongozi wa nchi jerekebishe kabisa pole sana kwa kupelekwa Lupango.

Nimekuelewa vzr sana MziziMkavu nitafanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom