wana jamii mnazarau post zangu

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
mimi na lala lakini kaka yangu kafumaniwa live ana kiss na mume wamtu naomba ushauri wenu na picha anazo kama ushahidi na hata usiku akilala anamtaja jila lake zaid ya mara tatu
 
kaka yako ndo alikuwa anamkiss dereva au mke wa kaka yako?

Watu wanadharau posti zako kutokana na mwelekeo wake
 
mimi na lala lakini kaka yangu kafumaniwa live ana kiss na mume wamtu naomba ushauri wenu na picha anazo kama ushahidi na hata usiku akilala anamtaja jila lake zaid ya mara tatu

Ni tungo/sentensi tata haieleweki alikuwa ana kiss na mwanaume mwenzake au alikuwa ana kiss na mwanamke wa mtu na akafumwa na huyo mme wa huyo mwanamke.
 
unajua nimekutafuta sana wewe binti.. Yaani nimekupenda gafla...sijui umenipa nini..bila wewe haki ya nani nitakufa! Naomba basi unipe japo nafasi niseme lililoko moyoni mwangu..
 
unajua nimekutafuta sana wewe binti.. Yaani nimekupenda gafla...sijui umenipa nini..bila wewe haki ya nani nitakufa! Naomba basi unipe japo nafasi niseme lililoko moyoni mwangu..

Mkuu siyo demu huyu!ana hulka tu za kike tena amezianza humu jamvini!kuna mwanangu anamjua kimtaani yupo katika mchakato anataka kummega!hadi sasa hivi nashindwa kuelewa kwanini ana swagga hizi wakati mtaani ni kijana mtaratibu kama mwanaume rijali kumbe dah!
 
mkuu siyo demu huyu!ana hulka tu za kike tena amezianza humu jamvini!kuna mwanangu anamjua kimtaani yupo katika mchakato anataka kummega!hadi sasa hivi nashindwa kuelewa kwanini ana swagga hizi wakati mtaani ni kijana mtaratibu kama mwanaume rijali kumbe dah!

nina wasiwasi na wewe, tena kubwa sana.
 
mimi na lala lakini kaka yangu kafumaniwa live ana kiss na mume wamtu naomba ushauri wenu na picha anazo kama ushahidi na hata usiku akilala anamtaja jila lake zaid ya mara tatu

Jane, hebu isome vizuri hii post yako wewe mwenyewe halafu utuambie umekusudia nini maana ni kama vile haieleweki! jaribu kufafanua vizuri halafu uone tutakavyo kusaidia, si unajua navyokupenda eeh!!
 
Nadhani jane ujiangalie upya, post zako huwa na mambo mengi yaliyokaa kiajabuajabu. Lakini wenye ufahamu wamepata picha ya wewe ni mtu wa aina gani, bora ungefungua fb account kule ndio mahala pake haswa! Jiangalie upya my friend.
 
Back
Top Bottom