NYAMA YA PUNDA ITAKUWEPO YA KUMWAGA. TAFADHALI USIKOSE KUJA KUJIKUMBUSHA ENZI ZA NYUMBANI BY BABU WA WANYIRAMBAKUTAKUWA NA KIKAO CHA WANAIRAMBA HAPO TAREHE 24 MAY SIKU YA JUMAMOSI (jioni) , WANAIRAMBA WOTE (pamoja na vikundi mbalimbali mfano; vya kuzikana, kusaidiana nk) WOTE WANAKARIBISHWA KUHUDHURIA .
MADAKTARI, WALIMU, WAFANYABIASHARA, WANAFUNZI, WAFANYAKAZI, WAHANDISI, WAHADHIRI, MAFUNDI, VIONGOZI WA DINI, n.k. fika bila kukosa
taarifu na wengine...!
........
Wakumbushe wajumbe wote watakaofika kwenye mkutano,kuwa kutokana na hali ya maisha Kuwa magumukwa wananchi,miundo mbinu kuwa na hali ngumu na mengine mengi,basi wajumbe wafikirie ni nini wanachoweza kukifanya kusaidia maendeleo ya Iramba kwani ahadi za serekali zimekuwa ngumu kutekelezwa.
ukwami.....ukwami...ukwami......!
nimejaribu kuiga, nikaishia kujingata. Lolmbi muntuane,mupanga ne?
nimejaribu kuiga, nikaishia kujingata. Lol
Izaa (Nimepatia?)Nu mupanga saana du.....e nsoko ndile kyuluga .....!