Wana-iramba Kukutana 24 May Msimbazi Centre

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,963
3,805
KUTAKUWA NA KIKAO CHA WANAIRAMBA HAPO TAREHE 24 MAY SIKU YA JUMAMOSI (jioni) , WANAIRAMBA WOTE (pamoja na vikundi mbalimbali mfano; vya kuzikana, kusaidiana nk) WOTE WANAKARIBISHWA KUHUDHURIA .
MADAKTARI, WALIMU, WAFANYABIASHARA, WANAFUNZI, WAFANYAKAZI, WAHANDISI, WAHADHIRI, MAFUNDI, VIONGOZI WA DINI, n.k. fika bila kukosa
taarifu na wengine...!
........
 
Wakumbushe wajumbe wote watakaofika kwenye mkutano,kuwa kutokana na hali ya maisha Kuwa magumukwa wananchi,miundo mbinu kuwa na hali ngumu na mengine mengi,basi wajumbe wafikirie ni nini wanachoweza kukifanya kusaidia maendeleo ya Iramba kwani ahadi za serekali zimekuwa ngumu kutekelezwa.
 
jumamosi jioni ndio saa ngapi? kwa kuwa kila mtu ana shughuli zake, ni vema tusipotezeane muda kwa kufika saa 7 kumbe kikao ni saa kumi. agenda ya kikao ni nini, au ni siri?

macinkus
 
msije kuunda vikamati vya ujana vya kuwapoka wenzenu

muwe wa kweli maana mifisadi ni mingi
 
KUTAKUWA NA KIKAO CHA WANAIRAMBA HAPO TAREHE 24 MAY SIKU YA JUMAMOSI (jioni) , WANAIRAMBA WOTE (pamoja na vikundi mbalimbali mfano; vya kuzikana, kusaidiana nk) WOTE WANAKARIBISHWA KUHUDHURIA .
MADAKTARI, WALIMU, WAFANYABIASHARA, WANAFUNZI, WAFANYAKAZI, WAHANDISI, WAHADHIRI, MAFUNDI, VIONGOZI WA DINI, n.k. fika bila kukosa
taarifu na wengine...!
........
NYAMA YA PUNDA ITAKUWEPO YA KUMWAGA. TAFADHALI USIKOSE KUJA KUJIKUMBUSHA ENZI ZA NYUMBANI BY BABU WA WANYIRAMBA
 
kitila mkumbo,
upo hapo,utaudhuria au unatuma mwakilishi.nafikiriwanakwenda kujikumbusha kunywa magaye,au ugale ne nsansa,au ndalu.
lakini hiyo saa ni ya iramba au ni aje.
 
KIKAO KIMEFANYIKA WAJUMBE MBALIMBALI KUTOKA SEHEMU TOFAUTI WALIKUWEPO , HOJA PAMOJA NA AJENDA MBALIMBALI ZIMEJADILIWA NA ZIKIWEMO CHANGAMOTO MBALIMBALI JUU YA MAENDELEO YA IRAMBA KWA UJUMLA.....!
UONGOZI WA MUDA PAMOJA NA KAMATI ZA MUDA ZITAKUTANA HIVI KARIBUNI KWA AJILI YA KUANDAA KATIBA PAMOJA NANYONGEZA MBALIMBALI ZA NAMNA YA KUINUA HALI YA IRAMBA......!
MARA BAADA YA KAMATI ZA MUDA KUKUTANA ( huenda ndani ya wiki mbili) NDIPO KUTAITISHWA KIKAO KINGINE CHA WANA-IRAMBA ....!
WITO: WANAOTAKIWA KUHUDHURIA NI WANAIRAMBA WOTE PASIPO KUJALI ANATOKA UPANDE UPI WA IRAMBA( MASHARIKI AU MAGHARIBI)..... NA UPATAPO TAARIFA HIZI JULISHA WANAIRAMBA WENGINE NA UWASILIANE NA WANAIRAMBA ILI KUJUA NI NAMNA GANI NAWE UTASHIRIKI KATIKA KUINUA IRAMBA........!INAWEZEKANA ...TIMIZA WAJIBU WAKO....!

NOTE: TUNAKUTANA KWA MAENDELEO YA IRAMBA NA SIO POLITICAL AGENDA AU RELIGIOUS AGENDA....!
 
Wakumbushe wajumbe wote watakaofika kwenye mkutano,kuwa kutokana na hali ya maisha Kuwa magumukwa wananchi,miundo mbinu kuwa na hali ngumu na mengine mengi,basi wajumbe wafikirie ni nini wanachoweza kukifanya kusaidia maendeleo ya Iramba kwani ahadi za serekali zimekuwa ngumu kutekelezwa.

SONGELA SANA .....!
MAWAZO YAKO YAMEZINGATIWA......!
NEXT TIME WE MEET TUTAJULISHANA MAPEMA ZAIDI !
UKEMBETWE!
 
kidaru, kisiriri, shelui, iguguno, mkalama, nduguti, ndago, ulemo, tulya,

mwa panga?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom