Wana Gangilonga mpo?

Mkuu naona wadau tupo, nimesoma na Majuto Lipangile, Erick Myonga, Albert Mgeni, Martha Mawere, Makia Siyovelwa, Hassan Ng'anzo, Asia Kaseko, Kaseko Said, Halfani na Kuruthum Kayugwa,Benson Benito Chang'a,Bupe Masasi .

pia nimesoma gangilonga.asia kaseko namfahamu sana ni jirani yangu huko ir.kaka zake na dada zake wote nawafahamu including criss kaseko.kuruthumu alikuwa known sana,i real remember iringa jamani
 
Kumbukumbu mwanana sana Laptop ilicorrupt ikipona namwaga Picha za shule yetu tukuka ya Gangilonga...

Jamani Mwalimu Hellen yu~wapi???
 
Ras Makosa aliibuka ghafla baada kufanya sana biashara ya gari,alikuwa na Isuzu Journey zikipiga Iringa-Ilula,baadae akafungua dispensary pale sokoni,,ila shule ilikuwa teee! no wonder ndo chanzo cha ku colapse,ama alifadhiliwa na mtu.
 
pia nimesoma gangilonga.asia kaseko namfahamu sana ni jirani yangu huko ir.kaka zake na dada zake wote nawafahamu including criss kaseko.kuruthumu alikuwa known sana,i real remember iringa jamani
Mtu mwingine ambaye nimesoma naye Gangilonga ni Mchungaji Anthony Lusekelo- Aka Mzee wa Upako, Enzi zake alikuwa smart sana akipenda kuvaa safari boot.
 
Kumbukumbu mwanana sana Laptop ilicorrupt ikipona namwaga Picha za shule yetu tukuka ya Gangilonga...

Jamani Mwalimu Hellen yu~wapi???
Lete hizo picha,ila siku hizi kumepauka sana.Enzi sisi tunasoma kulikuwa hakuna kioo kilicho vunjika na ukivunja unasimamishwa
shule mpaka uje na kioo na fundi wako.Mimi nilopo kuwa darasa la sita nilikuw time keeper na mfunga milango.
Nilikuwa napita kwenye coridor napiga kengele ndogo.
Saa sita wanafunzi wana enda lunch mpaka saa nane na mimi nafunga milango ya madarasa yote na kufungua saa nane.
Kulikuwa na ukaguzi wa kushitukia,tunaitwa kwenye hall tuna kaguliawa kama huna ukurutu shingoni,meno na kama umefua chupi.
 
[ZipiQUOTE=MissyNana;3103233]Kumbukumbu nzuri kweli ingawa sijasoma hiyo shule ila dada zangu 6 walisoma shule hiyo.kuanzia 1980-1987. Tulikuwa tunaishi kota za railways.[/QUOTE]
Zipi wilolesi au gangi?
 
Anakaa tabata dampo.Ukitokea kigogo unakatisha dampo kuelekea tabata.
Unapotokea kigogo unapandisha kimlima ukifika juu(ni parefu kidogo) upande wa kushoto utaona bendera
ya ccm na magari mengi yame park nje,Hiyo nyumba yenye bendera ndo yake.
Ahsante mkuu nitafika nimpe heshima yake
 
Duh kumbe juzi kati tu hapa............hata migagi hujaila:tongue: hata brekidans hujacheza:msela:
Na hajaimba, jua lile literemke mamaa.Na hajala mikate ya john bakery(Mkate na soda)
Baada ya hapo unaenda Paradise sinema kuanagali picha za kihindi au za bruce lee.
 
Na hajaimba, jua lile literemke mamaa.Na hajala mikate ya john bakery(Mkate na soda)
Baada ya hapo unaenda Paradise sinema kuanagali picha za kihindi au za bruce lee.
Hahaha kweli John baker yupo wapi siku hizi........namkumbuka kwa utaalamu wake wa gitaa alikuwa anatuburudisha wateja wakati tunasubiri mikate iwe tayari
 
Hahaha kweli John baker yupo wapi siku hizi........namkumbuka kwa utaalamu wake wa gitaa alikuwa anatuburudisha wateja wakati tunasubiri mikate iwe tayari
Jamaa alifariki siku nyingi.RIP.
 
Dah! Mmenikumbusha John Mikate (RIP), Mgiriki wa Kihehealikuwa mtu mzuri sana. Mara ya mwisho tulikutana naye mwaka 1995 tukapiga sanabia kwenye Pub ya Husna Mtasiwa (sijui naye yuko wapi?). Halafu mnakumbukaenzi hizo mikate tulikuwa tunanunua ya moto directly toka jikoni, sio siku hizi mkateumepikwa jana mnakula leo.
 
[ZipiQUOTE=MissyNana;3103233]Kumbukumbu nzuri kweli ingawa sijasoma hiyo shule ila dada zangu 6 walisoma shule hiyo.kuanzia 1980-1987. Tulikuwa tunaishi kota za railways.
Zipi wilolesi au gangi?[/QUOTE]
Za gangi
 
Naona wewe ulikua classmate wangu....unawakumbuka Mtoto wa Askofu Mwamasika (First name simkumbuki), Andambike, Ipyana!! Aisee sikujua kuna wanagangilonga humu! je wangapi walipanda lile jiwe kubwa la gangilonga?
 
[ZipiQUOTE=MissyNana;3103233]Kumbukumbu nzuri kweli ingawa sijasoma hiyo shule ila dada zangu 6 walisoma shule hiyo.kuanzia 1980-1987. Tulikuwa tunaishi kota za railways.
Zipi wilolesi au gangi?[/QUOTE]

Za gangi zile chini ya kihenge
 
Mimi nilikuwa nakaa jirani na ilipo kwa sasa Mama Siyovelwa Pub,Jirani na nyumba ya zamani ya Marwaha RIP,Kabla ya kukaa hapo tulikaa kwenye ile iliyokuwa Iringa Hotel kwa miezi 10 1984-1985... Meneja wake aliitwa Masanja alikuwa na kesi ya Ubadhirifu na Mkewe alikuwa na kesi ya Mauaji ya Mtoto wa
Dada aliyezaa na Masanja hii ilikuwa 1986...sijui Fate yao kwa wale waliokuwa wanakaa Kota za Railways Gangilonga watakuwa wanawajua... Familia ya Masanja... Masanja alikuwa mtu ambaye enzi hizi waweza kusema alikuwa MLA BATA... Nilisikitika sana kwa yaliyoitokea Familia hiyo...
 
kaka,kesho sikukuu nitakuwa kwa nancy tavern,tukutane pale tupige story na dada yetu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom