Wana Gangilonga mpo?

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Naomba tukumbushane enzi za shule.

Mnamkumbuka walimu wa kuu MR Mndeme na kipigo chake na Mr amuri?

Pia muheshimiwa John komba alitufundisha siasa tukiwa darasa la 4 alivyo maliza jkt mafinga alikuwa mwembamba sana.
 
Duuh inaelekea wewe umesoma enzi za 1982 hivi... Mimi nilikuwepo darasa moja na Zena Mkwawa,Nassor Mkwanda,Stewart,Sadi na Said(Watoto wa DD Nurdin),Vedasto,Nyambilila,Joyce Kibasa,Clement Kiwia etc tulimaliza 1987...
 
tusker baridi,mimi nilimaliza 1982 nilikuwa na kaka yake zena mkwawa.
Je ulikuta mchaka mchaka wa kila asubuhi na kukaguliwa chupi kwenye hall?
 
gangilonga sijasoma pale lkn nimepita saaana mitaa ile nikielekea highlands high school nikiishi ipogolo miaka ya tisini. kanyaga mguu saaaaana kile kimlima through magereza au INDIUKA hahaha i just love IRINGA jamani, nyelaaaaa utike?????
 
E bwana mmenikumbusha mbali sana! Mimi nilikuwa class of 1986 nikiwa na kina Godfrey Mbwilo (Godi Gangwe), Katuye Ndabagoye, Diana Myonga, Shida Hinju (Kaka yake na Vedasto), Nancy Mawelle, Loyce Tweve(RIP), Raphael Panga, Tanzua Tambi, Josephine Salmanus(mtoto wa Kigiriki), Ziada Sadiki na wengine nimewasahau. Those were good days!
 
Duuh inaelekea wewe umesoma enzi za 1982 hivi... Mimi nilikuwepo darasa moja na Zena Mkwawa,Nassor Mkwanda,Stewart,Sadi na Said(Watoto wa DD Nurdin),Vedasto,Nyambilila,Joyce Kibasa,Clement Kiwia etc tulimaliza 1987...

Sijasoma hapo ila niliishi na hao mapacha walikuwa mabrother kimtaa Sadi yuko Sumry Songea ila Side mwizi hajatulia ye ni kuungaunga tu hadi leo.
 
tusker baridi,mimi nilimaliza 1982 nilikuwa na kaka yake zena mkwawa.
Je ulikuta mchaka mchaka wa kila asubuhi na kukaguliwa chupi kwenye hall?

Duuuh enzi zile za Mzee Kabongo, JUA LILE LITEREMKE MAMAAAA...,BAAANDA WA MALAWI... Jamani enzi za Mwalimu Mkuu Dule nasikia ni Marhum!!! na Mama Lihundi Mama Kabongo yaani na Beautful Mwalimu Hellen(Cjui yuuuu wapi???)

Mama Mwakajila...Nimerudi nilipita Iringa baada ya miaka 20 2007 duuu pamebadilika saaana... Kumbe Sadi na Saidi bado wapo??? Jamani Baba yao na lile Land-Rover Short Chasis tuliwatania sana.. DD NURDIN DANGANYA DANGANYA NURDIN. Mwaka huu nimekaa pale wiki moja jamani lots of memories...
 
Sijasoma hapo ila niliishi na hao mapacha walikuwa mabrother kimtaa Sadi yuko Sumry Songea ila Side mwizi hajatulia ye ni kuungaunga tu hadi leo.
Maskini Said... lakini alijitabiria hali hiyo toka mwanzo... Nikifika Songea lazima nimtafute Sadi tlikuwa tunaenda Jiwe Gangilonga kucheza...
 
Gangilonga imebalika sana,wamekata miti.Vumbi mtindo moja.
Tukumbushane highlands pia.Mnakumbuka karani mnoko Hamisi Aka mwalimu hamisi?
 
Nilikuwa naimba kwaya ya mwalimu Komba. Dada Mkuu Rehema Ng'anzo (Rip) Esteliche na Loyce Tweve (Wote Rip) vipi kulima mahindi kiwanja cha shule ambapo sasa ndio ofisi za KKKT-DIRA Jomo kabongo na Konrad eti watoto wa wakubwa.

mmenikumbusha mbali
 
E bwana mmenikumbusha mbali sana! Mimi nilikuwa class of 1986 nikiwa na kina Godfrey Mbwilo (Godi Gangwe), Katuye Ndabagoye, Diana Myonga, Shida Hinju (Kaka yake na Vedasto), Nancy Mawelle, Loyce Tweve(RIP), Raphael Panga, Tanzua Tambi, Josephine Salmanus(mtoto wa Kigiriki), Ziada Sadiki na wengine nimewasahau. Those were good days!

Katuye Ndabagoye na Nancy Mawere nina mawasiliano nao...
 
E bwana mmenikumbusha mbali sana! Mimi nilikuwa class of 1986 nikiwa na kina Godfrey Mbwilo (Godi Gangwe), Katuye Ndabagoye, Diana Myonga, Shida Hinju (Kaka yake na Vedasto), Nancy Mawelle, Loyce Tweve(RIP), Raphael Panga, Tanzua Tambi, Josephine Salmanus(mtoto wa Kigiriki), Ziada Sadiki na wengine nimewasahau. Those were good days!

Mkuu ingia PM umenitaja hapa
 
Duh umenikumbusha mbali sana....Zile siku zilikuwa nzuri sana
 
Duuh inaelekea wewe umesoma enzi za 1982 hivi... Mimi nilikuwepo darasa moja na Zena Mkwawa,Nassor Mkwanda,Stewart,Sadi na Said(Watoto wa DD Nurdin),Vedasto,Nyambilila,Joyce Kibasa,Clement Kiwia etc tulimaliza 1987...

clement kiwia yupo wapi, tulikuwa tunakaa opposite pale karibu na TANCUT
 
dah, enzi ya mzee kabongo, samwel sitta, gen. Lupogo! Nilipiga buku pale na kina steven kibasa, emanuel luvinga, imani mzungu, mabrouk kina huwel, samel sitta jr, damian masasi enzi za teacher Hassan ukipelekwa uwanja wa damu umekwisha. Rip mwl. Dule, mama mwakajila aunt yangu jamani, kina shambe, abdul masoli, du long time.
 
Na wale wa WILOLESI enzi ya mwl. Kajiba, na mwl. Mapunda dah walikuwa wanapiga stiki balaa. Ila kama ulisoma gangilonga, wilolesi, chemchem basi we wakishua lazima!
 
E bwana mmenikumbusha mbali sana! Mimi nilikuwa class of 1986 nikiwa na kina Godfrey Mbwilo (Godi Gangwe), Katuye Ndabagoye, Diana Myonga, Shida Hinju (Kaka yake na Vedasto), Nancy Mawelle, Loyce Tweve(RIP), Raphael Panga, Tanzua Tambi, Josephine Salmanus(mtoto wa Kigiriki), Ziada Sadiki na wengine nimewasahau. Those were good days!

Duh ni zamani na umenikumbusha mbali sana Mwenye mawasiliano na Josephine Salmanus aniPM basi Ziada nimewahi kuonana nae
 
clement kiwia yupo wapi, tulikuwa tunakaa opposite pale karibu na TANCUT

Opps siku nyingi saana nimewasiliana naye nadhani yupo Botswana na mara ya mwisho alikuwa pale Maktaba Building katika ofisi za ku-clear mizigo... kati ya TISCAN au INCHCAPE(Spelling)...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom