Wana Chit-chat

Wana Chit-chat

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,434
Reaction score
511
Heshima yenu wakubwa,wadogo habari zenu!
Wana chit-chat napenda kufahamu mambo fulani hasa yanayofanyika kwenye hili jukwaa pendwa!
1) Mashindano>haya mashindano yanayofanyika hapa yana ukweli,na hizo zawadi zinawafikia walengwa?
2)Safari>hapa kuna safari iliandaliwa ya kwenda Tanga,ina madhumuni gani! Na ina ukweli wowote! Asanteni!!
"Where we Dare talk open"jf daima
 
Ruhazwe JR tafadhali msaidie mdau huyu katika swali la kwanza....

Babu DC Dark City tafadhali toa ufafanuzi kwa swali la pili....

Mtoa mada wahusika ndo hao... Ngoja waje watakupa ufafanuzi!!!
 
Last edited by a moderator:
nikuhakikishie mgeni wetu Yegoo ,mashindano haya ni ya kweli na zawadi ni za kweli na wadhamin ni wa kweli na fedha zimetolewa,tunachosubilia ni muda tu.kifup,mashindano hayo yalianza mwezi aug 12 kwa kuwapata mamiss wa kila mwez,ingawa tulianza tukiwa tuna chechemea,mwanzo hakukua na zawad,zawadi zilianza mwez oct..na washind wamekua wakipewa zawad.njoo upige kura kwa umpendae,njoo udhamin kwa manufaa ya jf
 
Last edited by a moderator:
mashindano mbona huwa kweli hizi safari bado weneyewe wamelala wasubiri wakujibu maana wapo na mwali ushongoni TA huko..
 
Moninga na ngai, yoka bien to tres kitoko @ charminglady
 
Back
Top Bottom