Wana Chit - Chat!!

hahahaaa!!! na nani? yule bwana mdogo uran? babake yule bila mimi hawezi ishi dar.

pesa anayoacha mezani inatoka kwangu!

sasa nitibue uone! unarudi kwenu tarakeaaaaaa!!!

Hahahaaaaa,kwenda zako kule
 
Last edited by a moderator:


Alaah kumbe ndo huyu
Maana nimeshtuka huo ukarimu wako kwake
 
Last edited by a moderator:
aaaah! princess enny mwenyeweeeee!!!! mamii toka jana nikakwandalia wine ukadengua! hivi kwanini lakini? mbona excel ni mtu mzuri saana! ushafikiria mbaaaaali! karibu lakini eenh!
Excel mwenyeweeeee yan wine yangu ukaanza kunywa wew loooooohhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…