Wana chit chat dhaifu

apo CUTE bado time bana...asante kunikumbusha..au wewe upo mashariki ya mbali?
Kaizer kesho jioni nakupa dinner nzuriii sana everthing on me..
chagua kulingana na imani ya dini yako
na itaseviwa namna hii mkuu angalia pia hapa kama utaipenda na hii iweko pia
 
CUTE inamaana hatma ishawekwa?
Hebu nambie basi mliamuaje maana mapigo ya moyo yananibadilika
Erickb52 yanakubadilikia nn wakati ww ndio ulinipeleka kule mwenyewe ukaniacha ukaondoka sasa ulitakaje tena
na nimeshampa Kaizer dinner recipes achague hapo juu atakachopenda mm naingia jikoni mwenyewe namtolea kitu murua
 
Khaa!.... Mbona unanitia wivu bibie BADILI TABIA?.......Dah! Yani pamoja na kukutoa out weekend iliyopita bado unanichakachua? Ngoja nimtafute cacico labda atakuwa ametulia.



'....wamevimbiwa uhuru, wamevimbiwa raha......'
Asprin sitaki kujua unazitolea wapi ila nimekuvulia kofia khaa!
 
Erickb52 yanakubadilikia nn wakati ww ndio ulinipeleka kule mwenyewe ukaniacha ukaondoka sasa ulitakaje tena
na nimeshampa Kaizer dinner recipes achague hapo juu atakachopenda mm naingia jikoni mwenyewe namtolea kitu murua
Don't cheat in a relatioship..if ur not happy then just leave
 
Last edited by a moderator:
Halafu apo juu Asprin tafadhali usimezee mate menu iyo
 
Last edited by a moderator:
khaa! kwani umesikia ndio kupata dinner pamoja ndio tumecheat jamani lol! kweli we unapenda sana chabo kama alivosema Kaizer
Yaani CUTE uyo dogo ameshindikana sema kiroho kinamdunda sijajua kwa nn?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…