Heheheheee msikosane@Erotica ila hakikisheni kila abiria anachunga mzigo wake ndio amani itakuwepo
Hahahahaaaa halafu Kaizer cha ajabu kwa kawaida probation huwa zina muda ila yangu hata sijapewa muda wowote..hhahahahah Erickb52 yaaani sikunzima sijacheka kama leo...kumbe upo kwen probation ya Amyner afu unajifanya kukumbukia ya BADILI TABIA sio... kule chini naona watakupa umodereta
teh teh teh. cant help it mamito. wen i see u i see ur lips 1st, then ur eyes.
baada ya hapo naweza kukusikiliza nini wataka nisemesha..
ehee unasemaje Elizabeth Dominic a lady as real as u can get....:yo:
Wakaguzi huwa wanafaidi sana aisee lolsi intanteni mizigo Erickb52. they slow u down. wacha Amy aendelee tu na mizigo yake.
mie kazi yangu kukagua tu na kumwachia mwenyewe. unaweza niita luggage inspector. :wink2:
Wakaguzi huwa wanafaidi sana aisee lol
Uje unikague this weekend kama kuna mapungufu kwenye mizigo yetu na bibie
We Erickb52 bila kujua udhaifu wa mwenzio utamzidi vipi maarifa...............njoo nikupe maujanja ya MnyikaWewe ni dhaifu kwa kupenda kujua udhaifu wa wengine wakati hautakusaidia
Lol natania
Kaizer hayo makitu ya kwenye avatar yanakufanyaga uipotezee Jumapili kiaina.........kiddingNipo Elizabeth Dominic, eti nina udhaif? hebu niambie udhaif wangu kwako?
teh teh teh. mwaaaaaaah! msalimie na Kaizer mwambie dhaifu lake
naona hawezi kabisa kuishi bila hayo makitu kwenye picha yake. :A S wink:
Elizabeth Dominic, amin nakuambia, hebu kuwa na imani japo ndogo kama chembe ya haradali.....na utaweza kuhamisha milima:wink2:Kaizer hayo makitu ya kwenye avatar yanakufanyaga uipotezee Jumapili kiaina.........kidding
1. Black bat
2...
3...
Ananitendaje? muulize akwambie balaa lake
Ananitendaje? muulize akwambie balaa lake
teh teh teh. yet u cant let go? balaa lake naliona kama hajitambui vile! ananisingizia :wink2: