Wana CCM Washangilia kwa Style Mpya(Picha)


Boflo

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Messages
4,392
Points
1,195
Boflo

Boflo

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2010
4,392 1,195
wakati wa sherehe za jana.....

22.jpg
 
NdasheneMbandu

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Messages
940
Points
0
NdasheneMbandu

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2012
940 0
Chama hiki utani mtupu. Dawa yao inakaribia kuiva jikoni.
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,687
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,687 2,000
At least they are doing something differently. Usikue wanataka kujisajili kama timu ya mpira? Maana miujiza haiwaishii hawa
 
peoples power

peoples power

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
471
Points
225
peoples power

peoples power

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
471 225
Wameshiba ubwabwa hao hawanalolote.
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,090
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,090 1,225
Wanapenda sana kulaliana. Uhuni mtupu watu wazima hovyo! Au ndiyo wale aliosema Karume kuwa wana ubongo wa pelege? Kile kibabu kimbea nacho kiitwacho Yusuf Makamba eti kinadanganya kuwa kuna wakati kilikuwa kikichagua kiongozi wa kanisa. Kinaongopa mchana na watu wanakisikiliza na kukenua. Shame on you CCM!
 
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,834
Points
1,225
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,834 1,225
Style gani hizi, hapa si ndo mwanzo wa kuchobeana, angalia huyo jamaa wa pili alovua kofia....antenna imesisimama. Balaaa
 
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
5,241
Points
2,000
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
5,241 2,000
Ha ha haaa Boflo style hii pekee ndio umeiona?
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,920
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,920 2,000
Masharti ya mganga hayo. Ushirikina ni sera na nguzo ya chama
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,787
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,787 2,000
Mwigulu alilaliwa na nani?
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Points
1,195
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 1,195
Tatizo wanaccm wengi wana akili za samaki,waache tu waliwe kichwa 2015.Watalala sana Segerea!
 
Jagarld

Jagarld

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
1,784
Points
2,000
Jagarld

Jagarld

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2011
1,784 2,000
Mwigulu alilaliwa na nani?
khaaaa! Umesahau kwamba anakimbiliaga kwa aliyekua mnb,mu-east afrika aliyeambiwa na mumewe eti samaki wote anakula lakini changu hapendiiii!
 
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,579
Points
2,000
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,579 2,000
Style gani hizi, hapa si ndo mwanzo wa kuchobeana, angalia huyo jamaa wa pili alovua kofia....antenna imesisimama. Balaaa
Ha ha ha We kweli kiboko, umeiona hiyo?
Lakini ndo sera sahihi za chama, haki sawa kwa wote?
 
sabasita

sabasita

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
1,506
Points
1,225
sabasita

sabasita

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
1,506 1,225
akili za samaki.....:becky::becky::becky:
 
marejesho

marejesho

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
6,636
Points
2,000
marejesho

marejesho

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
6,636 2,000
Hawa nao!!Hata mvua zikinyesha tuwaone wakilaliana hivi hivi kwenye matope!!!
 
50thebe

50thebe

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,141
Points
2,000
50thebe

50thebe

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,141 2,000
hivi wanachama hawa wanafanya kazi wapi?
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
39,357
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
39,357 2,000
Huu ushirikina mtupu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,295,829
Members 498,404
Posts 31,224,511
Top