Wana CCM Washangilia kwa Style Mpya(Picha)

Njaa mchezo, hela za rushwa zina laana, hapo hata wakiambiwa wavue kama alivyofanya diamond watafanya tu
 
Kumbe Karume hajui kutofautisha kati ya Walrus na Fish.
zomba (R.I.B), Ritz na Rejao wamelaliwa pia? Manake kusachiwa na askari wa kike wamezua kimbembe ila kulaliana na nguo za chama hamna shida.

Watu wazima hovyoooo
 
Last edited by a moderator:
Kama kukaa chini wanalaliana hivi, je wakiwa wamekaa kwenye viti watashangiliaje??
Au ndo mtu kupakatwana kugongwa ngozi kimya kimya.
Hakyamungu nikiona mke wangu amelaliana na mtu hivyo nitamBarlow mtu bila kukusudia.
 
Back
Top Bottom