Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Chama cha Mapinduzi ni chama pekee cha kisiasa kikubwa hapa nchini, kwa kauli alishawahi kutoa Mwalimu Nyerere kuwa CCM ni kama kokoro kina wanachama wa kila aina Mafisadi, wauza madawa ya kulevya, wakwepa kodi etc.
Kuondoka/Kuhama kwa kiongozi ama viongozi ni dalili tosha kuwa mageuzi makubwa ya kimadili yanatekelezwa kikamilifu na CCM na watu ambao walikuwa wanakipa chama hiki dosari nyingi wataendelea kikimbia. Wana CCM msiwe na wasiwasi na uongozi uliopo wa CCM sasa hivi Tanzania tunapita kwenye mpito wa mageuzi ya kiuchumi na Inshaaalah tutafanikiwa.
Hizi Propoganda ya watu juu ya uchumi ni wale kwa sehemu kubwa ndio walioshiriki kulifikisha taifa hili hapa. Tanzania mpya inakuja isiokuwa na mafisadi, wakwepa kodi, wauza madawa ya kulevya.
Kidumu chama cha Mapinduzi.